Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwahiyo Mzee wetu baba yetu UNATAKA VIJANA WAOE SINGLE MAZA?

Yaani unataka wanunue viwanja vyenye migogoro?

#YNWA
Mimi napinga suala lenu la kukataa ndoa, jitahidini kuoa.

Mnapotaka kuoa washirikisheni Wazee wenu, maana huko Vijijini Wanawake ambao hawajatumika sana wapo. Na ukiwa na bahati unapata hata Bikra

Napinga #Kataa Ndoa
 
Tumbili wamejaa sana tunzeni watoto wenu hadi waolewe, mmeacha wanazagaa hawana bikra nani awaoe labda chui wenye njaa ndio mlo wao. Kataa ndoa ni kampeni tukufu
Hatujawaambia muoe Single Mothers, tunachopinga ni nyie kukataa kuoa

Mbona ukienda fellowship hapo Mlimani unakutana na Warembo wengi single, si muwaoe hao
 
Unavyosema hivyo umeassume vitu vingi
1. Kila mtu ameomba kuzaliwa(hamna aliyeomba)
2. Kila mtu anajali dini(although dini haijalazimisha mtu kuoa)
3. Tupo mwaka 200 BCE (wakati dunia ya saa hivi imebadilika)
Divorce rates zipo at 70% duniani na 80% of divorce zinasababishwa na mwanamke na mwanamke anafaidika na divorce 90% of the time. Asa we Kama umeoa miaka 80 ambapo mke wako Hana Instagram Hana elimu Hana kazi umeweza kumweka ndani na kumtunza na kuzaa watoto nae, all power to u ..Ila kwa dunia ya saa hivi wanaume wengi no matter how good u r wanalizwa na ndoa, mfano mzuri Steve Harvey. So benefit ya kuoa kwa mwanaume ukitoa hizi za kufikirika cjui dini sijui jamii, real benefits ni ndogo sana na it's a very risky business
 
Hey bikra Kijiji gani hicho huyo la 7 au elimu gani
Kwani unapotaka Kuoa unaoa Mke au unaoa Elimu yake na Kazi yake?

Mnapoangalia hayo ndiyo mnapata Wanawake wasiotulia kwenye ndoa.

Kwani wewe unashindwa kumtunza huyo Mkeo hadi utake Kumwoa huyo mwenye Degree Mbili?

Sasa atakulelea watoto wako saa ngapi iwapo wewe ukienda Seminar Mwanza naye anaenda Seminar Arusha?
 
Ndoa na kuoa ni vitu vinapaswa kufutwa kisheria ni ushetani
 
Ndiomana kuoa zama hizi ni ushetani kataa ndoa ni kauli njema ya sisi Mitume na Manabii wa sasa.
 
NAKAZIA KWA NGUVU KABISA
 
Most of single mother wakiwa na watoto wanaona wapo alone sana nd ndicho kinachowaumiza ,
Wengi wanapenda kuolewa ili wapate unafuu moyoni.
 
Kwani huwezi kuoa huyo Mwanamke mwenye Elimu kubwa lakini bado ukamfungulia miradi aisimamie akiwa hapo hapo nyumbani?

Wake zetu hawakuwa na Elimu lakini ndiyo wamewasimamia nyie mmesoma hadi kuwa Madaktari.

kumbukeni, hamwoi kazi wala Elimu yake, unaoa Mke ambaye atatakiwa kuwa msaidizi wako katika Kulea Watoto wenu.

Mwanamke bila kumtawala atakutawala wewe, Simameni kama Wanaume.

Kauli yako moja inatosha kumfanya mkeo akutii hadi unaingia kaburini.
 
Ndiomana kuoa zama hizi ni ushetani kataa ndoa ni kauli njema ya sisi Mitume na Manabii wa sasa.
Mnapokataa Kuoa, hao watoto mtazaa na nani?

Vipi Malezi yao, mtawaachia Walimu wao?

Oeni Vijana, ila hakikisha mnawashirikisha Wazee wenu. Sio umependezwa na Utundu wa Mwanamke kitandani basi unaoa, unashindwa kujua unatakiwa Kuwapa Mama bora watoto wako.
 
We acha kelele watu wako na single maza wana watoto miaka 30 na hatuna abari.
Unakuta umelala ye anakubusu usiku kucha ukigusa imoo.
Sasa nawaachaje single mother
 
🤣Hao mademu ambao jumamosi wanakesha kitambaa jumapili wanaenda kanisani
Hakikisha mnachunguzana kabla hujaamua kumvisha Pete ya Uchumba.

Sio vibaya kuwashirikisha Wazee wenu, mbona Wazee ukiwapelekea Mwanamke kama ni mbovu wanakwambia mapema tu kuwa huyo mke hafai.

Msioe kwa kunogeshwa na Viuno na Ujuzi wa Mwanamke kulamba Koni

Oeni kwa kuangalia huyo Mke anafaa Kuwa Mama wa Watoto wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…