Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wengi wao wanapenda kwenda kwa waganga wa kienyeji ili kupata dawa ya mvuto.
hiyo yote ni baada ya kuupoteza huo mvuto wake wa awali bila kujijua.
 
Ni mimi tu hii kitu ndo naitizama katika jicho ilo, but kwa kautafiti kangu kadogo, out of 10 women 4 ni single mother,2 hawajaolewa, 1 kaolewa anafurahia sana maisha, 3 wameolewa but wanahati hati ya kua ma single mother, sasa nijikita katika hoja yangu, ni kwanini hii hali ya u single mother inazidi kushamili sana, ( waliosoma wote nawasiosoma ) wanaenda bega kwabega.

Kwanini single mother limekua sasa ni jambo la kawaida kabisa na jamii imetokea kulikubali?

Je nisababu wazazi wetu wametuacha?

Au ni sababu tumesahau miiko ya zamani?

Nisababu ya utandawazi?

Au ni sababu wanaume wa sasa hawapo responsible kama wazee wazamani?

Ni sababu wanawake wasasa hawajui wanachokitafuta?

Au ni sababu watu hawajui wanachokitafuta ndani ya mahusiano?

Nawaza nisababu tu wamama wanakua hawajiandaa kua wazazi?

Au sababu wanaume wamechoka tabia za wanawake wao?

Nisababu tu ya mwanamke anapenda ivo( lakini mbona huyuhyu akikaa anawalaumu wanaume)?

Au ni sababu mwanamke akiwa na kazi basi anajiamria?

Ndo niamini kutofanya sex salama ndo chanzo?

Au niseme ndoa sasa imekua ndoano yakuvulia papa?

Yani ndo niamini michepuko ndani ya ndoa ndo sababu?

Au ni sababu ya ahadi za uongo wanazotoa wanaume?

Au niamini wanawake wanategeshea mimba in return waolewe?

Au niseme nimoja yakitega uchumi?

Je ni sababu mwanamke anayafuta tu mtoto( lakini mbona huyuhuyu haishi kuulalamikia upweke )?.

Yaani kwanini hili suala limekua kuba, mwanamke yupo radhi kuiacha ndoa na kwenda kua single mother ( lakini kwann huyuhuyu mwisho anaishia kua mdangaji )?

Dah am still trying to figure out, why? Now days single mothering is directly proportion with time. Najiuliza sana, ni wazazi? Ni sisi wenyewe? Au utandawazi ? Au tumemuacha Mungu sana ? Why?.

Na jamiii imeamua kukubali mwisho wasiku hata Leo hii pia HIV/AIDS we don't fear it, imekua kama Malaria! dahh Ooh Tanzania, my country nakupenda.

N.B TUWAONDOE SINGLE WALIOKUA MA SINGLE SABABU YA KUFIWA WAUME WAO NA WALE WALIOBAKWA.

N.B; IKISHINDIKANA BASI NISEME KILA MTU ANASABABU YAKE YA KUA SINGLE.
 
Mwanamke amechukua majukumu ya mwanaume katika ndoa.
Na mwanaume rudi rivasi.

Jike akisusa
Dume anasusa
Kila mmoja anaamini hawezi kuwa chini ya mwenzake.

Kifupi miaka ijayo kama haitachukuliwa hatua ya kujitambua basi haitakuwa ajabu wanaume kuvaa vimini mana taiti wanavaa.

Lipsi zinang'aa sauti mrembesho yaani wanawake wataona bora waanze kuoa tu.
 
Back
Top Bottom