Wape somo vijana wanaotetea malayaNature inamtambua Mhanga kama ndiye mwenye Makosa.
Yule àmbaye NI victims nature inamtaka ajihami na kuchukua tahadhari
Kwèñye suala la ngono Mwanamke ndiye Mhanga hivyo yeye ndiye mwenye Makosa.
Kiimani(matokeo) àmbayo sio nature Mwanamke na Mwanaume wôte wanamakosa lakini Sheria inamtaka Mwanamke aolewe akiwa Bikra
Sheria hiyohiyo haimzuii Mwanaume kutokuoa Mwanamke asiye na Bikra hasa Kwa Wanaume Wazee
Ila kijana kiimani anatakiwa aoe Mwanamke aliye Bikra, logical ni Kosa Kwa kijana Kuoa Mwanamke asiye na Bikra ila siô Kosa Kwa mwanaume Mtu mzima Kuoa asiye na Bikra
Nimekuelewa mkuu
Kumbe una msimamo huo kisa nchi za ulaya
Apo nakubaliana na weweNope sio hilo ni ndoa za siku hizi wannaume hawataki kuhudumia so mtu anaamua kulea wanawe nasiku hizi wanawake wanajituma
Sio kimapenzi woi ungeuliza nimekuotaje mie nikujibuUtapigwa
Nina wake Watatu
Mmoja ni mfanyabiashara Mkubwa
Wapili ni usalama wa Taífa
Watatu ni Mganga wa kienyeji.
Wôte wanawivu Mkali.
Wape somo vijana wanaotetea malaya
Eh my dearApo nakubaliana na wewe
Nimeshuhudia hii kitu
Sio kimapenzi woi ungeuliza nimekuotaje mie nikujibu
Watibeli 🤔🤔Msimamo huo ni Nature
Ulaya NI mfano Kwa sababu ninyi wengi mmefunguliwa Akili na Watu wa Ulaya Wakati Sisi Wengine Watibeli
Akili zetu hazitegemei Watu wa Ulaya.
Sisi Msimamo wetu unazingatia uhalisia wa mambo
Anamuingilia anaingilia wapi?
Hajafika secondary unamsaidiaje kumuelezeaHili Swali ungemuuliza Mwalimu wako wa Biology àmbaye alikuwa analipwa kîla Mwezi Kwa Kazi hiyo
Basi siwezagi ota mwanaume ovyo naishi kwa masharti ila pole usijisifu sana huna lolote unatunga tu mie mume wangu ni biden n hawara yangu ni putin na mchepuko wangu ni netanyau sasa ni chezeNimekutahadharisha tuu.
Unaotaje Mume wa wake Watatu tena Wanawake weñye Ñguvu kama hujitafutii matatizo.
Unafikiri watakuelewa
Una maono sana mwakani gombea udiwaniEh my dear
Nilipotamka wajane na single mother hawafai walikua wanajua Natalia hawajui hata wajane wengi ndio sababu ya Vifo vya waume zao kwa Asilimia kubwa , na kwa akili ya vijana wataendelea kuumia kila kukichaVijana vichwa vimeshaingia tope
Mimi nahitaji kupata tu njia ya kusaidia watoto wenye vipaji wapate elimuUna maono sana mwakani gombea udiwani
Mbona we hujafa sasa 😂Nilipotamka wajane na single mother hawafai walikua wanajua Natalia hawajui hata wajane wengi ndio sababu ya Vifo vya waume zao kwa Asilimia kubwa , na kwa akili ya vijana wataendelea kuumia kila kukicha
Mungu akusimamie utimize malengo YakoMimi nahitaji kupata tu njia ya kusaidia watoto wenye vipaji wapate elimu
Wewe so kiziwi ni mzima kabisaa 🙏1. People are subjected to mistakes , kuna hili kundi wanapata mimba wakiwa bado wadogo kwasababu mbali mbali zinazowapelekea kuachwa solemba na waliowapa mimba. Mara nyingi hawa ni victims.
2. U poa poa, tuzae tuzae then what!
3.umalaya, mtu anajikuta amepata mimba na within fertility window alilala na 3 different men, akianza kuwashika mashati na akafanya kosa moja hawa wanaume wakagundua hakuna atakayekubali huyo mtoto (wanaume sio mafala kivile)
4. peer pressure, jamii imemuaminisha mwanamke lazima azae akifika umri fulani, wanawake wakiwa umri huo desperation level inakuwa juu sana. Wanaona kama sijaolewa ngoja tu nizae.
5. Kutembea na waume za watu, i swear ukitembea na mume wa mtu utaishia tu kuwa single mother, most men won’t leave their wives for mpango kando. Na hii ni sababu ya baadhi ya wanawake maisha yakiwashinda kitega uchumi pekee kisichohitaji investment ni kuzaa na mume wa mtu.
6. Women empowerment, Wanawake wakiwezeshwa wakaweza hawataweza kukaa kwenye ndoa za mateso, Hence wakiona wanateseka watavunja ndoa tu….
7. Umagharibi ; ile nazaa nitalea mwenyewe.
Katika haya yote kubwa ni mmomonyoko wa maadili, However wanawake tunatakiwa kubeba lawama katika hili, kwanza “most” of men hawapendi watoto (hawawezi kukiri) So watoto ni jukumu la mwanamke, Jitunze pata mume mzae muwajibike pamoja kulea watoto, Hakuna ubaya wowote katika kulea watoto katika complete family, kwanini tuopt fasheni nyingine ambayo imeprove tofauti? Usingo mother/father uwe kwa sababu ya majaliwa (kifo)
Waliotengeneza familia/ndoa kuwa taasisi-msingi kushinda taasisi zote hawakuwa wajinga, mkiwa ndoani/familiani mtawajibika tu hata kama hamtaki! Hence ustawi bora wa watoto.
Wanawake tukemeane kwenye hili, katika hili nisisikie adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie blah blah . Jamii itageuka ya ajabu na hapa bado!
Darasa la sita hiyo mada Ipo.Hajafika secondary unamsaidiaje kumuelezea
Basi siwezagi ota mwanaume ovyo naishi kwa masharti ila pole usijisifu sana huna lolote unatunga tu mie mume wangu ni biden n hawara yangu ni putin na mchepuko wangu ni netanyau sasa ni cheze