Ok sawa Ngoja Niwe Mstaarabu ili nikusaidie Pengine unapitia Magumu Ulipo...
Nikufundishe Kidogo Communication skills Ambayo nahisi Unaikosa Elimu hiyo Adhimu, na Elimu ya Mijadala ambayo nahisi Hukuwahi Kufundishwa..
Hayo ni l yangu Kuhusu Single mazas kwa Mujibu wa Research zisizo rasmi nilizofanya (Unpublished)..
Sasa Chukua Hoja zangu Zichambue moja moja na Uzipinge kwa Kutumie Hoja Zako...
Kama Huwezi kufanya Hivyo basi upande wa Kulia hapo kwenye Jamiiforum Kuna icon Nne Bonyesha Icon ya Kwanza kabisa Kipengele cha mwisho Kimeandikwa Log Out Kibonyeze Uzime Simu na Ulale...
Kwanza Sheria Mojawapo ya Majadiliano (Huenda Ulikuwa Hujui) ni Kuheshimu Hoja za mwenzako, hata kama Ni za Kipuuzi kama Zako..
Na Baada ya Kuheshimu Hoja Hizo kama Hukubaliana nazo ,Unazipinga kwa Heshima..
Nasikitika
jamiiforum Haiwafundishi Siku hizi Jinsi ya Kujiengage kwenye Mijadala Zamani Kipindi Jamiiforum Inaanzishwa Kulikuwa Na somo Kila mara la Kujiengage kwenye Mijadala..
Natanguliza Shukrani Za dhati kabisa ndani ya Mtima wangu 😅