Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Legend; Seriously?

Sikuwa na sababu ya msingi… ila zamani nikiwa slim nilikuwa nafanana “kiasi” na binti kiziwi wa wimbo wa Z anto. Au basi nilikuwa nampenda, kuna ile delusional ukimpenda mtu unajiona kama yeye/unajiona ndani yake. 😂

It’s me being stupid!
You're very smart, natamani kuuliza tena but niishie hapa mkuu wangu, legend nimekuelewa🤣🤣🤣
 
Mi nilifikilia kwa upande huu kua hili ongezeko kubwa la singo maza nyakati hizi hasa mijini (Dar es salaam)
Yanaanzia hapa mwanamke akishakua na Elimu, pesa (anajimudu kiuchumi) anakua hashikiki dharau kiburi jeuri.

Wengi wako hivi na kwa kwabahati mbaya wanaume tulivyo hatuwezi kuvumilia fedheha ya aina hii hasa kutoka kwa mwanamke.

Kwahiyo uwezo wa kifedha au /na elimu kwa mwanamke katika mahusiona (ndoa) unamjengea jeuli anaweza akaamua kirahisi tu waachane na ndivyo inavyokuaga.

Uvumilivu wa mwanamke katika ndoa sometimes ni unasababishwa na utegemezi wake kwa mwanaume juu ya mahitaji yake... Sasa kama mahitaji yake anayamudu ikitokea changamoto ndogo tu ya kindoa anabeba vilago. Ila kama ndoa imejengwa kwa misingi mila au mafunzo ya kiimani basi ndoa itadumu angalau shida inakuja sasa hivi wengi ni atheist.
 
Siyo kweli, Kila mwanamme anapenda kuhudumia mtoto na mke wake. Kuhudumia ni fahari yetu.

Sema nyie na umalaya wenu mnataka uhuru ili mkatombeshe kwa wengi.

Hakuna mwanamme aliye tayari kuhudumia mwanamke Malaya, jeuri na kiburi.
mwanaume kamwe hua hamtupi mwanamke anayemuheshimu na mvumilivu kwake , sema mwanaume akishagundua mwanamke aliyenaye ni mwenye tamaa, dharau , kiburi hapo ndio huamua kumtoa moyoni, somo rahisi mwanaume anaweza kuhudumia mke na mchepuko kwa usawa na bila ubaguzi au mwanaume anaweza kua na wake wawili na akawatendea haki , lakini mwanamke akishakengeuka na kuacha tabia zisizo mpendeza mwanaume hua hawezi kubadilika na ndio anakua anapotea bila yeye kujua , na kwa sababu mwanamke ni mtu wa kujaribu kila kitu kama mtoto anajikuta mara nyingi anajaribu hatari maana uelewa wake ni mdogo,
 
Hilo swali tafadhali lisijibiwe ki jazba.

Ukosefu wa maadili unatupeleka pabaya sana. U singo mama na u singo baba unakuja kwa njia tofauti lakini kuu zaidi ni hili la singo mama.

Nyumba zinazoitwa " vituo vya yatima", binafsi naziita vituo vya watoto waliokosa bahati. Kwa sababu vituo hivyo vimejaa watoto wenye wazazi wao, lakini kwa kuwa watu wameona ni biashara inayolipa, wanachukuwa vibali vya vituo hivyo na kuwajaza humo kujitengenezea kipato haramu.

Wengine wa hao watoto wa singo maza na singo faza, ni watoto tunaowaona wakilelewa na walezi wengine kabisa, ambao siyo wazazi wao. Kama vile bibi, shangazi, dada mama mkuu. Je kuna siri zipi nyuma ya pazia?

Nini kinachosababisha u singo maza? Majibu yangu binafsi kwa uchache.

1) Wengi, pengine asilimia kubwa zaidi, za watoto wasio na bahati, hupatikana mimba kwa kujamiiana watu walio wa karibu kabisa, baba, mjomba, kaka, baba mdogo, baba mkubwa mpaka mababu.

Mashangazi, dada, mama mdogo, mama mkubwa nao wamo.

Watoto wanaopatikana ni kipi kitawazuwia wasiwe wa singo maza?

Wanasema "nyumba uloizowea kuihama ina kazi". Mtindo huo hujirudia sana tu.

Kuna kesi mbili tatu nazifahamu binafsi za namna hiyo, dunia haina siri.

Nyote, mnaoambiwa ni watoto wa singo maza msiowajuwa baba zenu, au kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie babako" mjuwe baba zenu mnao na ni watu wenu wa karibu kabisa.

Tukiona Watanzania wengi ni mapoyoyo, hiyo nayo ni sababu ya kuwa na taifa lenye watoto wenye mapungufu.
Tatizo siyo wanaoitwa au jiita ma "singo mama" tu, kuna watoto wengi sana wanaoambiwa "mamako alikufa" au "babako alikufa", kumbe ni uwongo mtupu. Huyo baba au mama aliyekufa isibaki hata picha? Au ndugu zake?

Ma singo baba, sababu zao ni nini?

Tusilee uozo wa maadili.
Hiz ndio mambo za kujadili sasa sio kila siku Palestine na Israel.
Hiz vitu vinachangiwa na mambo mengi. ukiacha maadili kuna umasikin ndani yake, kuna kuacha utamaduni wetu na kukimbilia usasa, nk nitarud baadae kufafanua
 
Wewe jadili upendacho usipangie wengine wajadili nini.
 
Hata mimi siwezi kuwa kwenye list ya mwanaume maskini anayewekwa mjinj nawanawake kazi yake nikudanga onaga basi aibu huna amani kisa kila kitu ulichonacho nichawanawake aibu sana unalana

Ningekuwa Maskini na sipo kwèñye listi yako usingeniota. Lakini unaniwaza Sana Mpaka Usiku hulali unaniota.

Waote Maskini wenzako usinitie nuksi na Ndoto zako za Mizimu Maskini
 
Jamii inaongozwa na mwanaume. Ukitaka kujua Jamii yenye wanaume dhaifu we angalia wanawake zao, lazima single mother ni wengi mnoo..

Jamii yenye wanaume wasioweza kumwongoza mwanamke na kumwacha ajiongoze mwenyewe, jamii ya wanaume wasioweza kumkemea mke wa mtu malaya badala yake wanamtongoza, jamii ya wanaume isiyotaka kuwa na familia, wasambaza mbegu, watama pono na wacheza kamari lazima wanawake zao wawe single mother tu.

Jamii ya wanaume vilizi wa mapenzi, jamii ya wanaume walamba lips, jamii ya wanaume laini laini wasiotaka kazi ngumu, wapenda mishangazi, jamii ya wapenda utelezi. Lazima wanawake zao wawe single mother tu.
Sure
 
Wanawake skuizi wapambanaji kwahio kuwa na mtoto sio shida zao😅 pia skuizi imekua sifa ukifika umri 25 ++ huna mtoto unaonekana kama fala, hujitambui, hujiwezi, huna fyucha!
Mi kwakweli siwezi kuwa singo maza sijajipanga wallah! Hayo maziwa ya afu 30 bado pampas 👐👐👐
 
tunajitahidi kuwakumbusha kua mwanamke ana expire akishagonga 40, soko lake linazidi kushuka yaani kama ni bidhaa inakua zilipendwa, ndio maana hata wema Leo huwezi kusikia kasafiri nchi fulani na nchi fulani sababu soko Hana tena, hata uhongaji mabinti wadogo ndio huhongwa pesa nyingi maana bado wako sokoni , mishangazi , single mother na wajane hao ni saidia fundi , ukizidiwa piga na ondoka
mockers mwanaume akifika 40 yeye haja expire pia?
 
mwanamke ili awe na amani ya Kweli Anatakiwa afahami
mockers mwanaume akifika 40 yeye haja expire pia?
Bado anakua yumo ndio maana mwanaume hata miaka 70 anachakata kama kawaida , mwanamke akifika 50 kwenda juu nyege zinaisha lakini mwanamke nyege huongezeka kwenye miaka 40, 45, 50 ukiomba game mwanamke yeyote wa umri huo lazima atakutunuku Tu wanakua na nyege balaa, hasa muonekano wa mwanamke miaka ya 40 tayari kama ni tako linakua limelegea, maziwa yashamshuka, uso umemchachuka hata atumie vipodozi aina gani na makeup za aje lakini uso unakua na makunyanzi , atajificha na urembo wa salun lakini wapi hamna kitu ndio maana mwanamke mjanja age hiyo anatumia muda mwingi kua na adabu na kuzuia ghiliba za hapa na pale ili aliyenaye azeeke naye , hapo anakua kabakiza muda mfupi awe Bibi kizee ili awe anatembea anajisema hovyo
 
Back
Top Bottom