Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sababu zipo nyingi sanaaa Tena sanaaa ni bora ibaki kila MTU na sababu yake OK ni hivi.

Wapo ambao kwa kuchelewa kupata mtoto umri unaenda anaamua tu azae na mwanaume yeyote bila kujar atakuwa na msaada au VP anachojari hapo ni kuwahi muda usimuache.

Wapo wengine wanashindwa mateso ya wanaume navituko anaamua aishi mwenyewe na watoto wake.
Ndio

Wapo ambao ujana unawasumbua wanashindwa kuishi na wenza wao kwa tabia zako chafu mwenyewe hivyo wanaume wanashindwa kumvumilia mwanamke huyu hivyo inamlazimu kumuacha na mtoto .
 
Saa nyingine tunakuwa na malengo nao lkn unakuta mapemaa mwanamke anaanza kukupanda kichwani


Mimi mwanamke mwenye kisirani na kujifanya mjuaji huwa sitaki hata kumsikia
Aaahhhhh sawa ,,, kwaiyo huyu hata awe amekuzalia watoto kadhaaa bado unaweza kumwacha ??.

Wanawake mbadilike jaman ,msipande wake kichwani.
 
Naanza kupata majibu sasa mkuuu.


Kumbe hili tatizo ,,source niwanawake kwakiasi kikubwa???.
 
Uzinzi mwingi wanagawa papuchi kama karanga vile na wengine wanategesha mimba makusudi ili wategemee mteremko
 
Briefly, Nachokiona apo ni kubadilika kwa mifumo ya maisha ikichangiwa na sera za ujeuri za mwanamke kutaka kuwa sawa na mwanaume, wanataka kuwa huru nowdayz ni rahis mdada kusema me shida yangu nizae tu ayo mengn nitadeal nayo.
Ofcoz umesema ,,lkn ukiona ivo ,,kwann usichukue hatua yakua naye uchungu na kumsaidia il mlee mtoto wenu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…