Sasso
JF-Expert Member
- Aug 9, 2023
- 825
- 3,077
Ponjoro wa Kinondoni kwenye moja na mbili
Sanaaa, na mpango wa kuzalisha 2 wengine nifunge hesabu.And you're proud ?
Ni vyema kama utawahudumia na kuwapa haki zao za msingi maanadlizi mazuri ya maisha yao.Wakuu kwema? Katika kipindi nilichoishi duniani, nimezalisha warembo 18, namaanisha warembo haswa.
Wote kwenye status wanapenda kupost watoto na kuandika maneno kama "wewe ndio furaha yangu" mara "faraja ya moyo wangu" nk.
Nimegundua kuwa mimi ndiyo chanzo cha hiyo faraja na furaha yao. Bila kuwapiga mkuyenge huenda wasingekuwa na hizo faraja.
NB: Kama huna uwezo wa kuhudumia watoto usifanye huu mchezo.
Naam, huo ni wajibu wangu kuwahudumia wao na mama zao.Ni vyema kama utawahudumia na kuwapa haki zao za msingi maanadlizi mazuri ya maisha yao.
Wapo, binafsi nina mshkaji wangu analea mtoto peke ake tangu akiwa na miaka miwili mpaka sasa mtoto ana miaka 11. Mama mtu hajawahi hata kupiga simu kuulizia hali ya mwanae lakini mshkaji hajawahi kulalamika. Hii ingekua kinyume chake ingekua balaa.What about single babaz au hawaexist?
Avoid hast generalizations!Kwahiyo single fazas hawaonekani kuwa tatizo kwenye jamii yetu kwa sababu athari hasi za mtoto kulelewa na baba ni ndogo sana ukilinganisha na za kulelewa na mama ake
Hii ipo kisheria zaidi. Mtoto akiwa chini ya miaka 7 baba hana mamlaka ya kisheria kukaa na mtoto. Ukiona mtoto wa chini ya miaka 7 yupo na mama basi kuna uwezekano baba yupo na anasaidia malezi ya mtoto wake, lakini ukiona mtoto wa umri huo yupo na baba ujue mama alimtelekeza mwanae. Suala la kuona single maza wengi haimaanishi kwamba baba mtu katelekeza mtoto, isipokua taratibu za sheria na ustawi wa jamii zinamzuia kukaa na mtotoAvoid hast generalizations!
Pia single fathers sio wengi kama unavyoelezea, jamii kubwa imezungukwa na single mamaz
Hao wamama sio watakatifu kwaiyo usijenge mtazamo kwamba kwenye kila kesi ya single maza, mwanaume ni vilain na mwanamke ni victim.ata waliolelewa na hao mama hatushangai kuona wakijikita kuanzisha hizi mada kuwaponda! Nyie kama mnaongelea singo maza ambao ni gen z labda, wamama wengi nilioona wakilea watoto peke yao wanapitia magumu sana!
Naona kama haujanielewa. Suala la matunzo ya mtoto ni jukumu la wazazi(baba na mama) kwaiyo single maza anavyoanzisha mahusiano mapya sio sawa kutaka au kuona kwamba huyu mpenzi wake mpya abebe jukumu la gharama za malezi, na hili suala la kubeba gharama za malezi ya mtoto ambae sio wako ni moja ya changamoto inawafanya vijana wasite ku-settle na single mazasMada yako iko financially sana, unataka mtudate na singo maza asiombwe pesa wakati ata ambao wanatoa mimba mnawahonga sana tu! Unataka mwanamke akiachana na mwanamume waliozaa mtoto asimhudumie! Hiyo ni ndoto..
Suala la kushika mimba na kuzaa muamuzi mkuu ni mwanamke. Hakuna kinachoweza kutokea bila mwanamke kuruhusu, vinginevyo awe amebakwa. Na hili kujua kama mwanaume yupo siriaz na wewe ni mpaka pale atakapokuoa rasmi. Mwanaume hajakuoa, kwenu hawamjui, kwao hawakujui wewe umebeba mimba basi hapo hata ukitelekezwa hauna uhalali wa kulalamika wala kuwarushia lawama wanaume, kwa sababu hayo ni matokeo ya maamuzi ya kipumbavu uliyoyafanya wewe mwenyewe. Accountability inawashinda sana wanawake.Ifike mahali muandike na chanzo cha hili kundi sio mnaandika kama vile mwanamke anajitia madole ndio anatapa huyo mtoto!
Uwe unasoma between the line. Mama mtoto kushindwa "kupiga hata simu" ni mfano tu umetumika kuonyesha kwamba hajali chochote kuhusu mwanae. Kuonyesha kujali sio kupiga simu hata hata kumtembelea shuleni au kumoelekea mtoto zawadi kama ulivyosema ni kujali pia.Ofcoz ata mi sipigagi cm kwa baba mtoto, nimpigie ili tufanyeje? Nikipiga cm ndio mtoto anafanyaje? Ukipata muda kamuone dogo kama kuna vizawadi unapeleka biashara imeisha eti nipige cm kama mtoto hana changamoto napiga cm kutafuta nini ss kama sio kuanzisha mambo mengine bila sababu za msingi! Tunalazimishaga uzungu wkt wengi wenu maisha mlokulia hayana tofauti na hao watoto wa mzazi mmoja! Mmeigeuza kama ulemavu na mimba mnatutia nyinyi!
Tatizo wanawake hamtaki kukubali ukweli kwamba hiki kizazi cha vijana wa sasa hivi sio kile kizazi cha wababa na wazee wetu ambao kimsingi walikua ma-simp, ndio wakaja na misemo ya kioumbavu ya kitanda hakizai haramu, kuchapiwa siri ya ndani n.k Kizazi cha vijana wa sasa ni tofauti, ni kizazi ambacho kimesha-unlock manipulations na cheating code za wanawake. Kwaiyo mwanamke utapokelewa kutokana na nia unayokuja nayo kwenye mahusiano.Natamani sana kujua umri wa mnaopiga vita hili kundi na bando kutwa kujaza magesti mxiew!!
Ukomee mbuzi kabusa😆😆😆Single mother wengi wamekuwa na tabia za ajabu na zenye kushangaza katika jamii. huwatumia vijana wadogo wa kiume kukizi haja zao huku wakiogopa watu wazima kwa hofu ya kuongozwa au kuendeshwa na mfumo dume, ndiyo chanzo cha kukua kwa msamiati miongoni mwa vijana wa neno MSHANGAZI.
Pia single mother waliozagaa mitaani huchochea tabia mbaya kwa mabinti wadogo ya kujihusisha na mapenzi katika umri mdogo, kwa kudai wanatafuta pesa na hawaogopi chochote kama ni mimba au mtoto watalea mbona mama furani analea na hana shida na mtu.
Hii ni laana na tabia mbaya katika jamii tunatengeneza kizazi kisichokuwa na maadili mema katika jamii. Kwa maana kundi kubwa la single mother wengi ndilo huongoza kwa kujihusisha na mapenzi horera mitaani kwa sababu ya kujipatia fedha za kukizi mahitaji yao na watoto wao. Je uhatari ulioje kwa vijana wanaotazama hizo harakati na shughuri zao za kuusaka mkate jinsi zisivyo na maadili mema. Hii ni hatari na inahatarisha ustawi wa jamii.
Huu mgazeti ulipaswa ukae mbele ya benchi sema mtakuwa mmeshagawa utamu kwa md wakaja kuuficha huku.Ukomee mbuzi kabusa
Kama Kawaida yetu!Huu mgazeti ulipaswa ukae mbele ya benchi sema mtakuwa mmeshagawa utamu kwa md wakaja kuuficha huku.
Me siwezi kuchakata mbususu iliyozeeka kwanza ukiitazama inaonekana inamakunyazi inakata mzuka.Kama Kawaida yetu!
kama ulivyoeleza hapo juu tunagawia na watoto wadogo wadogo kama wewe na kuwapa somo wadogo zenu wa kike mtakoma aisee
Kwahiyo ukija kuoa mkeo akizeeka atakuwa anachakatwa na nani kijanaMe siwezi kuchakata mbususu iliyozeeka kwanza ukiitazama inaonekana inamakunyazi inakata mzuka.