Hahaha! Mkuu, kwa hiyo tatizo ni kujulikana? Ndio maana nimesema jamii huwa zinatu-shape maisha tunayoishi, tupende tusipende.Zingatia neno kwa siri.
Kama filosofia ya maisha ndio hii, kwa nini tunapinga ushoga ambao watu wanataka kufanya kwa siri? Au hata ufisadi unaofanywa kwa siri? Mambo mengo mabaya yanafanywa kwa siri, sasa tatizo ni nini? Kwa nini viongozi wa dini wayakemee ikiwa yanafanywa kwa siri?Kutoa mimba kama ni siri yake hatukatai kwasababu huwezi jua si amekuficha.
Lakini single mother kama alivyosema bwana min -me tuwaachie single fathers.
Tunaishi na kuadopt mazingira tunayokulia, mawazo,falsafa, na matendo yetu mara nyingi(sio zote) huakisi jamii tunayotoka.Hahaha! Mkuu, kwa hiyo tatizo ni kujulikana? Ndio maana nimesema jamii huwa zinatu-shape maisha tunayoishi, tupende tusipende.
Ndio maana nikasema jitafakari. Kuna mambo ku-adapt mazingira uliyokulia inaweza kuwa ni kufanya kosa kubwa maishani. Falsafa ya "when in Rome do as the Romans do" sio applicable wakati wote.Tunaishi na kuadopt mazingira tunayokulia, mawazo,falsafa, na matendo yetu mara nyingi(sio zote) huakisi jamii tunayotoka.
Mimba aliyoitoa msichana kwa siri ni jambo ambalo hakukuhusisha wewe na alifanya kabla ya wewe kuwepo kwenye maisha yake hivyo Hujui sababu hataki ujue na hajawahi kukuambia.Kama filosofia ya maisha ndio hii, kwa nini tunapinga ushoga ambao watu wanataka kufanya kwa siri? Au hata ufisadi unaofanywa kwa siri? Mambo mengo mabaya yanafanywa kwa siri, sasa tatizo ni nini? Kwa nini viongozi wa dini wayakemee ikiwa yanafanywa kwa siri?
Kwanini lisiwe tatizo?Msichana anaejiuza mwili wake kwa siri - kuna tatizo hapo?
Na kama ukijua alifanya hivyo kabla ya kufahamiana nae sio tatizo kwako?Mimba aliyoitoa msichana kwa siri ni jambo ambalo hakukuhusisha wewe na alifanya kabla ya wewe kuwepo kwenye maisha yake hivyo Hujui sababu hataki ujue na hajawahi kukuambia.
Kwani tatizo la mtu linaweza kushift kimiujiza kisha likawa tatizo la mtu mwingine?Na kama ukijua alifanya hivyo kabla ya kufahamiana nae sio tatizo kwako?
Mkuu, sijaelewa bado. Unapendekeza sio vizuri kuoa single mother au ni sawa kutoa mimba?Mleta mada umetoa point za ukweli ila kuna mengine ni ya kujitakia toka kwa kina Mama wenyewe. Mwaka juzi, nilipata nafasi ya kwenda Dar kumtembelea kaka yangu, na familia yake. Jirani na kaka yangu kuna mdada anaishi nyumba ya wazazi wake na watoto wake 5 aliozaa na wanaume tofauti tofauti, Yes - watoto 5 kila mmoja na baba yake. Kiuwastani watu wanasema bidada ni mwathirika na hajali kugawia watu urithi na ni mgawaji mzuri tu, ukimchekea tu anakuvulia chupi na kukuita mume. Basi hao watoto wake wamekuwa kero kwa kaka yangu pale mtaani, kila wakimuona kaka ama marafiki zake wanakwenda kumtembelea wanasubiri getini ili wakitoka waombe hela. Cha kusikitisha kuna watoto 3 kati ya hao 5 wameoa visichana na kuishi mle mle ndani kwa bibi na babu yao...yaani ni full uswahili. Wale vijana walikuwa wanataka kunizoea mimi na kuniomba hela kudai eti hawajuwi watawapa nini mashemeji zangu, nikawauliza nikijifanya kuwa sijuwi wanamaanisha nini, kwamba mimi mbona shemeji yangu hana matatizo, ndipo wakajitoa ufahamu na kuniomba hela kama wananijuwa tena kwa kulazimisha niwasaidie. Nikwaambia kwanini wasiende kutafuta kazi hata za kuzoa taka au kuokota vyupa na kuuza, mbona wengine wanafanya? Wakanitizama tu na kuondoka bila hata kusema chochote. Baada ya kurudi huku mkoani, nikajapata taarifa eti walikuwa wananivizia usiku wanifanyizie kwa kuwaambia ukweli wakatafute kazi. Kwa kweli ni ujinga kuzaa watoto na vibaka kisha utegemee majirani au watu mtaani wakusaidie kutunza wanao....kina dada kwa kweli mjipange kwa hili, mnawatesa watoto wenu na kuwajaza simanzi moyoni.
Kutooa single mothers!Mkuu, sijaelewa bado. Unapendekeza sio vizuri kuoa single mother au ni sawa kutoa mimba?