Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Tamar hakuwa na mtoto.

Bibilia haitambui dhana ya single mothers, ina ukale fkani hivi. Yenyewe inatambua wajane tu.

Watu wanapenda kusema Rahab ndo alikuwa single mother, lakini bibilia haitoi ushahidi.
Hapa mama Maria mama yake yesu ndio anaonekana kuwa alienda kama single mother japo kwa staili ya mimba🤔
 
Mimi nafikiri kulikuwa hakuna Gender balance zama hizo....
Wanaume walikuwa wengi kuliko wanawake...

"Adam alimjua mkewe naye akawazaa cain na Abel.... hadi hapo hakuna binti.

Ibrahim akamzaa isack
Isack akamzaa Jacob
Jacob alizaa watoto 12 wote wanaume

Kwahiyo demand ya mwanamke ilikuwa extremely juu zaidi...
Wanawake wote walivunwa ndoani.
Kuhusu wajane sijui kwakwel.
Wayahudi hawakuwa wanahesabu wanawake enzi hizo mpaka kwenye agano jipya hicho kitu kipo. Rejea kisa cha Yesu alipolisha watu 5000 kwa mikate mitano na samaki wawili.
 
Ikawaje Sara akaomba kwamba mjakazi huyu afukukuzwe pamoja na mwanae? Na kwanini hata baada ya kuzaa bado aliitwa mjakazi tu ?
Sara aliomba Hagar afukuzwe kwa sababu alimwona Ismaili kama tishio kwa urithi wa Isaka, na pia alihisi kudharauliwa na Hagar baada ya kujifungua.

Ilikuwa ni hatua ya kulinda nafasi ya mtoto wa ahadi. Ingawa Hagar alikuwa mjakazi, alipewa Abrahamu kama mke (Mwanzo 16:3), na hata baada ya kufukuzwa, hakunyang’anywa hadhi hiyo,,aliendelea kuwa mke wa Abrahamu kisheria, lakini siyo sehemu ya agano la kiroho.
 
Hagar alitii maagizo ya tajiri are sara tu kama kijakazi wake kumzalia mtoto tu , wayahudi wenyewe hawamtambui kama mke halali , wanamtambua kama suria tu( pilegesh)
 
Back
Top Bottom