Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hudhurieni vipind, hamtaki.
Haya, mkija, andikeni notsi, hamtaki.

Sasa sijui tuwasaidieje muelewe!? 🤣
Ona sasa paper mnafeli kizembe namna hii
Haaa sana Kuna mmoja Leo anataka 50k nikamwambia azima utatue Matatizo yako jioni uje Uchukue Mimi nipo Dukani sitoi pesa mpaka nifunge mahesabu, akaniambia Mwanaume bahili hata ujielewi, Ukiona mwanamke anakusifia unaejielewa Jua unafaida kwake ndomana anakusifia, pia Wanawake wanatazama Faida kwanza, mchezo wa wanawake Hawataki kupoteza, Watoto wa Kiume ndio wanaopoteza Ktk Mapenzi hasa uwekezaji wa Fedha na Mali, Mwanamke anataka apewe Kwanza hapo ndipo mtego ulipo.
 
Hyo nae mbona hana uvumilivu
 
NB: mada hii haizungumzii wajane
Ewe kijana ambae unataka kuanzisha familia uwe umejipata ama hujajipata, KAMWE usioe single mother, unaweza kua na mahusiano nae sku za kwanza ukaona ni mtu mwenye tabia nzuri na mnaendana ila usiingie huo mtego

1) Mwanamke mwenye mtoto kamwe huezi kumtenganisha na mtoto wake, anaanza mtoto wake alafu unafuata wewe na ikitokea amekuweka wewe wa kwanza kimbia hakuna mwanamke apo
2) Agenda yao kubwa ni malezi hivo basi kama una watoto tayar unganishen familia maisha yaendelee ila kama unaanza upya kamwe usiguse single mother, ata kama awe anaenda kanisan kila sku anafunga na maombi kaa mbali nae
3) Priority zake zpo ivi:
1) mtoto 2) familia haswa mama 3) majiran na rafiki zake 4) wewe apo
hivo basi akipata mfano laki moja unaweza kugawanya apo share yako ni buku tu, narudia tena na kukazia
4) since mtoto ndo kkipaumbele chake baba wa mtoto ana sauti kubwa sana kwenye maisha yake ikiwemo kufanya coo-parenting however 🤣 🤣 🤣 🤣 , haiwezekan miaka 10 bila kujikumbushia hakuna kizingiti apo
pia mm kama baba mwenye mtoto nkijua unalea mtoto wangu na sjakuelewa ntakua sababu kubwa ya hio ndoa kuvunjika

najua unasababu nyingi kwamba unawajua masingle mother ila amini huwajui bado, jiulize maswali haya huyo mwanamke atakuchukua kama haikua huyo mtoto? hivo basi kijana KAMWE KAMWE USIOE SINGLE MOTHER,
 
Wewe hujakutana na single mother aliyenawiri wewe.

Single mothers ni wanawake kama wanawake wengine tu. Sioni tatizo lolote.
 
Utuambie hapa ni mwanamke yule aliyezalishwa akiwa nyumbani Kwao Kwa wazazi wake sio mjane ni wapi na sehemu Gani kwenye Biblia aliolewa?

Wewe mwanaume Tuambie ninani mwanaume kwenye Biblia alioa single mother?

Nipo hapa
CeD8yxqXIAAgGc0.jpg
 
Back
Top Bottom