Hivi mabinti wote mnaowalala huko mtaani wanawatoto? Kwamba wanapendwa watoto wao kwanza ndipo mama zao ulalwa?
Okay,nimeenda mbali zaidi wakati mfano halisi ni wewe mwenyewe na aliyekuzaa....aliliwa kwa sababu alikuwa na mtoto mwingine aliyependwa na baba yako?
Okay,tufanye umejibu....lakini pia wanawake wote wasio na bikra walitombwa kwa sababu walilaghaiwa kwa kupendwa watoto wao?
Tafadhali,tafadhali......kuweni na heshima kwa wanawake...kumbukeni mmezaliwa na mwanamke....ameolewa,hajaolewa but wote tulikojolewa ndipo mkazaliwa.Asante