Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,756
Mbona wanaolewa ni vile tu yeye muda haujafika au vile amejieka wanaolewa single mother vizuri tu we humuoni Hamisa
Ni kupambana Tu asikae kinyongeMwaka 2013 sitosahau huu mwaka .
Mtoto Mama mdogo alipewa Mimba na muhuni mmoja na alikuwa form four
Huyu binti alikuwa smart kuanzia nyumbani hadi shuleni.
Zilianza kusikika sauti za shangwe endapo hatokuwa Mwalimu basi atakuwa hata daktari.
Ila hauwezi kuamini alipofika mwezi wa Saba alipimwa na kukutwa na mimba ya miezi miwili na akasimamishwa Shule .
Japo tulitumia njia ya kutoa pesa ili tu afanye mtihani wa form four
Yes iliwezekana Ila hakutoboa aliishia kupata four
That was end .
Leo hii Ana miaka 30 Ana mtoto yupo darasa la sita
Ila ndoto zake kama binti kuolewa zimekufa
Ndoto za kusoma zimekufa
Yupo kijijini anafundisha tuition ya Chekechea
I feel the pain .
In future nafikiria kumfungulia day care na kumtoa kijijini.
Nachotaka kusema single mother ni laana ukishapewa mimba bila kuolewa unakuwa tayari ume attract mikosi na nuksi
Kmmmk naumia Mimi 😭😭😭
Tukiacha utani hapa duniani wote tumekutana na wote tunakosea... Kuna singomatha wenye maisha mazuri kuliko wewe hapo unaewasema kwamba wamelaani.Kazi ya mwanaume ni kutoa provider so it up to you kujua unapokea nini unaweza pokea sperms ukapata Mimba
.aiseeeMbona wanaolewa ni vile tu yeye muda haujafika au vile amejieka wanaolewa single mother vizuri tu we humuoni Hamisa
MobetoMbona wanaolewa ni vile tu yeye muda haujafika au vile amejieka wanaolewa single mother vizuri tu we humuoni Hamisa
Mbona Aziz Ki kamkuta Hamisa Mobeto ana 2-0 na bado akamuoa?Mwaka 2013 sitosahau huu mwaka .
Mtoto Mama mdogo alipewa Mimba na muhuni mmoja na alikuwa form four
Huyu binti alikuwa smart kuanzia nyumbani hadi shuleni.
Zilianza kusikika sauti za shangwe endapo hatokuwa Mwalimu basi atakuwa hata daktari.
Ila hauwezi kuamini alipofika mwezi wa Saba alipimwa na kukutwa na mimba ya miezi miwili na akasimamishwa Shule .
Japo tulitumia njia ya kutoa pesa ili tu afanye mtihani wa form four
Yes iliwezekana Ila hakutoboa aliishia kupata four
That was end .
Leo hii Ana miaka 30 Ana mtoto yupo darasa la sita
Ila ndoto zake kama binti kuolewa zimekufa
Ndoto za kusoma zimekufa
Yupo kijijini anafundisha tuition ya Chekechea
I feel the pain .
In future nafikiria kumfungulia day care na kumtoa kijijini.
Nachotaka kusema single mother ni laana ukishapewa mimba bila kuolewa unakuwa tayari ume attract mikosi na nuksi
HujaulizwaKuna jibu moja nalisubiri Kuliona hapa ili nami niamue kufanya Maamuzi ya Kishalubela (Kikatili) au ya Kiimani (Kiupendo)
Kuwa UNAINAMISHWA au?Hujaulizwa
Kwanini mtoto asipendwe na Baba yake?Single mothers wanaamini kuwa ili aone unampenda kweli unabidi kumpenda mtoto wake .
Na hapa ndo wajanja wamekuwa wakijichukulia point tatu.
Hakuna kitu kama hichoYes ukipenda boga penda na ua lake.
Nimewapa code ukimuhadi kumlipia mtoto wake ada unachinjaKwanini mtoto asipendwe na Baba yake?
Baba kafaKwanini mtoto asipendwe na Baba yake?
Single mothers wanaamini kuwa ili aone unampenda kweli unabidi kumpenda mtoto wake .
Na hapa ndo wajanja wamekuwa wakijichukulia point tatu.