Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ndiyo naelewa, that's why nimekujibu vile, suria kuolewa na Ibrahimu ulikuwa mpango wa Mungu, si kama unavyo waza wewe.
Kama mtoa mada alivyosema nami nimemjibu kama yeye alivyota kuzaa na single mother tu kama suria sio kuoa , masuria mara nyingi walikua ni watumwa tu , hizo habari za ni mpango wa Mungu inakuhitaji imani uamini hivyo tu.
 
Utuambie hapa ni mwanamke yule aliyezalishwa akiwa nyumbani Kwao Kwa wazazi wake sio mjane ni wapi na sehemu Gani kwenye Biblia aliolewa?

Wewe mwanaume Tuambie ninani mwanaume kwenye Biblia alioa single mother?

Nipo hapaView attachment 3366800
Tamar (mjukuu wa Abrahamu kwa uzao wa Yuda)

Mwanzo 38

Tamar alikuwa mke wa Er, mwana wa Yuda. Alipofiwa na mumewe, aliolewa na nduguye Onani.
 
Rahabu

Yoshua 2, Mathayo 1:5

Rahabu alikuwa kahaba wa Yeriko. Biblia haisemi wazi kama alikuwa na watoto kabla ya kuolewa, lakini alijulikana kuwa mwanamke aliyekuwa na maisha ya awali nje ya ndoa ya Kiyahudi.

Alipookoka kuangamizwa kwa Yeriko, aliunganishwa na taifa la Israeli na aliolewa na Salmoni.

Walizaa mtoto aitwaye Boazi — babu wa Daudi. Kwa hiyo, inawezekana alihamia kwenye ndoa mpya akiwa tayari na historia ya maisha tofauti na ya kawaida.
 
Hagar alikua ni kijakazi wa Sara, na Sara ndio alikua anammiliki baada ya kuona hapati mimba kwa kauli ya Sara mwenyewe alimfanya kuwa suria wa mumewe ili mume wake ajipatie mtoto.
Sasa huko kumfanya hauoni kama ni alimfanya kuwa mke wa pili kwa muktadha wa kipindi hicho??

Au wewe kujua maana ya neno suria ndo kunakufanya upinge hoja nzima ya Hagar kuolewa?
 
Tamar (mjukuu wa Abrahamu kwa uzao wa Yuda)

Mwanzo 38

Tamar alikuwa mke wa Er, mwana wa Yuda. Alipofiwa na mumewe, aliolewa na nduguye Onani.
Pia Onani alikataa kumpa mimba tamari akafa , ikabidi tamari alale na baba mkwe wake akapata mapacha tera na peresi.
 
Utuambie hapa ni mwanamke yule aliyezalishwa akiwa nyumbani Kwao Kwa wazazi wake sio mjane ni wapi na sehemu Gani kwenye Biblia aliolewa?

Wewe mwanaume Tuambie ninani mwanaume kwenye Biblia alioa single mother?

Nipo hapaView attachment 3366800
Maria mama wa yesu. Alipata mimba akiwa na miaka 12, akalazimika kuolewa na yosefu haraka saana.
 
Back
Top Bottom