Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mimi nafikiri kulikuwa hakuna Gender balance zama hizo....
Wanaume walikuwa wengi kuliko wanawake...

"Adam alimjua mkewe naye akawazaa cain na Abel.... hadi hapo hakuna binti.

Ibrahim akamzaa isack
Isack akamzaa Jacob
Jacob alizaa watoto 12 wote wanaume

Kwahiyo demand ya mwanamke ilikuwa extremely juu zaidi...
Wanawake wote walivunwa ndoani.
Kuhusu wajane sijui kwakwel.
 
Utuambie hapa ni mwanamke yule aliyezalishwa akiwa nyumbani Kwao Kwa wazazi wake sio mjane ni wapi na sehemu Gani kwenye Biblia aliolewa?

Wewe mwanaume Tuambie ninani mwanaume kwenye Biblia alioa single mother?

Nipo hapaView attachment 3366800

MWANZO 19:30-38

19:30 Loti na binti zake wawili waliondoka Soari na kufanya makao yao kule milimani, kwa maana aliogopa kukaa Soari. Yeye na binti zake wawili waliishi katika pango. 31Siku moja binti mkubwa akamwambia yule mdogo, “Baba yetu ni mzee na hakuna mwanaume mahali hapa atakayekutana na sisi kimwili, kama ilivyo desturi ya mahali pote duniani.
32 Tumnyweshe baba yetu mvinyo kisha tukutane naye kimwili ili tuhifadhi uzao wetu kupitia baba yetu.”

33Usiku ule walimnywesha baba yao mvinyo, alipolewa binti yake mkubwa akaingia na kukutana naye kimwili. Baba yao hakujua wakati binti yake alipoingia kulala naye wala alipotoka.

34 Siku iliyofuata binti mkubwa akamwambia yule mdogo, “Usiku uliopita mimi nilikutana kimwili na baba yangu. Tumnyweshe divai tena, usiku huu nawe ukutane naye kimwili ili tuweze kuhifadhi uzao wetu kupitia baba yetu.”
35 Kwa hiyo wakamnywesha baba yao mvinyo tena usiku ule, naye binti yake mdogo akaingia, akakutana naye kimwili. Kwa mara nyingine baba yao hakujua binti yake alipolala naye wala alipoondoka.
36 Hivyo binti wawili wa Loti wakapata mimba kwa baba yao. 37 Binti mkubwa akamzaa mwana, akamwita jina lake Moabu; ndio baba wa Wamoabu hata leo.
38 Binti mdogo naye pia akamzaa mwana, naye akamwita Benami; ndiye baba wa Waamoni hata leo.
 
Sasa huko kumfanya hauoni kama ni alimfanya kuwa mke wa pili kwa muktadha wa kipindi hicho??

Au wewe kujua maana ya neno suria ndo kunakufanya upinge hoja nzima ya Hagar kuolewa?
Kwa kanuni za kiyahudi hagar hakua mke , yeye alikua mtumwa wa Sara tu , na Sara alimtumia ili kumpatia mme wake mtoto tu na sio kivingine , fuatilia hadithi ya isaka na yakobo ndio utajua taratibu za kujipatia mke zilivyokua.
 
Genesis 16:3 inasema wazi kwamba "Sarai... gave her Egyptian slave Hagar to her husband to be his wife." Hii inaonyesha kuwa Hagar kwa Abramu alikuwa mke halali, si mtumwa tu wa kuzaa mtoto.

Kuhusu customs, katika tamaduni za wakati huo, mtumwa aliyekuwa anamzalia bwana wake mtoto mara nyingi alikuja kuchukuliwa kama mke wa daraja la pili.So kusema alikuwa 'just a surrogate' ni kupotosha context ya kihistoria na ya kidini.
 
Alibeba mimba ya Abraham, single mother anakuwa na mtoto asiye wako.
Genesis 16:3 inasema wazi kwamba "Sarai... gave her Egyptian slave Hagar to her husband to be his wife." Hii inaonyesha kuwa Hagar alipewa kwa Abramu kama mke halali, si mtumwa tu wa kuzaa mtoto.

Katika tamaduni za wakati huo, mtumwa aliyekuwa anamzalia bwana wake mtoto mara nyingi alikuja kuchukuliwa kama mke wa daraja la pili ,,So kusema alikuwa 'just a surrogate' ni kupotosha context ya kihistoria na ya kidini.
 
Genesis 16:3 inasema wazi kwamba "Sarai... gave her Egyptian slave Hagar to her husband to be his wife." Hii inaonyesha kuwa Hagar kwa Abramu alikuwa mke halali, si mtumwa tu wa kuzaa mtoto.

Kuhusu customs, katika tamaduni za wakati huo, mtumwa aliyekuwa anamzalia bwana wake mtoto mara nyingi alikuja kuchukuliwa kama mke wa daraja la pili.So kusema alikuwa 'just a surrogate' ni kupotosha context ya kihistoria na ya kidini.
Ikawaje Sara akaomba kwamba mjakazi huyu afukukuzwe pamoja na mwanae? Na kwanini hata baada ya kuzaa bado aliitwa mjakazi tu ?
 
Genesis 16:3 inasema wazi kwamba "Sarai... gave her Egyptian slave Hagar to her husband to be his wife." Hii inaonyesha kuwa Hagar alipewa kwa Abramu kama mke halali, si mtumwa tu wa kuzaa mtoto.

Katika tamaduni za wakati huo, mtumwa aliyekuwa anamzalia bwana wake mtoto mara nyingi alikuja kuchukuliwa kama mke wa daraja la pili ,,So kusema alikuwa 'just a surrogate' ni kupotosha context ya kihistoria na ya kidini.
Unasoma biblia ya walokole ya yule papai king James ndio tatizo lako🤔
 
Tamar (mjukuu wa Abrahamu kwa uzao wa Yuda)

Mwanzo 38

Tamar alikuwa mke wa Er, mwana wa Yuda. Alipofiwa na mumewe, aliolewa na nduguye Onani.
Tamar hakuwa na mtoto.

Bibilia haitambui dhana ya single mothers, ina ukale fkani hivi. Yenyewe inatambua wajane tu.

Watu wanapenda kusema Rahab ndo alikuwa single mother, lakini bibilia haitoi ushahidi.
 
Rahabu

Yoshua 2, Mathayo 1:5

Rahabu alikuwa kahaba wa Yeriko. Biblia haisemi wazi kama alikuwa na watoto kabla ya kuolewa, lakini alijulikana kuwa mwanamke aliyekuwa na maisha ya awali nje ya ndoa ya Kiyahudi.

Alipookoka kuangamizwa kwa Yeriko, aliunganishwa na taifa la Israeli na aliolewa na Salmoni.

Walizaa mtoto aitwaye Boazi — babu wa Daudi. Kwa hiyo, inawezekana alihamia kwenye ndoa mpya akiwa tayari na historia ya maisha tofauti na ya kawaida.
Na kwa kuongezea tu Ukoo wa Yesu unapita kwa Huyu Rahabu
 
Back
Top Bottom