Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ndugu yangu niko mbali na familia yangu kwa muda sasa mambo ya utafutaji..
Taarifa nazopata nikiwa huku ni kuwa wanapasha kiporo mtu na mzazi mwenzake..
Kichapiwa Ni Siri Ya Ndani
Kizuri Kula Ndugu Zako
 
😁😁😁Leo umeonesha kwamba unacho andika si unacho maanisha,Mimi timu kataa ndoa kumbe Umeoa na una watoto ila sio mbaya 😀😀
Hapana , mimi nasoma tu , na huwa navutiwa na kusoma na kudadisi maandishi mbalimbali, ili bado sijavutiwa na mimi Kuamini uwepo wa Mungu hivyo haijazuia mimi kuendelea kusoma vitabu vinavyozungumzia dhana ya Mungu 🤔
 
Hapana , mimi nasoma tu , na huwa navutiwa na kusoma na kudadisi maandishi mbalimbali, ili bado sijavutiwa na mimi Kuamini uwepo wa Mungu hivyo haijazuia mimi kuendelea kusoma vitabu vinavyozungumzia dhana ya Mungu 🤔
Kama una vutiwa kusoma iko siku utapenda inshallah endelea kuvutiwa mkuu.
 
Just 60 / 70 yrs ago concept ya single mothers haikuwepo coz simply people married early, sembuse 4000years ago.

Bibi yangu angekuwa hai leo angekuwa about 90yrs, aliishia darasa la 4. Story alikuwa akirudia all the time: baba zao walikuwa wanapenda sana ng'ombe. Binti kua tupate ng'ombe.

Aliolewa na 14yrs. First born at 15yrs. Wachache baada ya la 4 wangeenda kufundishwa unesi na wakoloni.

I dont remember reading about single mums in the bible. Have to research.


"This generation shall not pass, till all these things be fulfilled."
#WeAreInTheLastGeneration
 
Leo nimeona niwape uzi wa kifilosofia.

Mara nyingi jamii inachangia sana kumfanya mtu awe jinsi alivyo. Unakuta mfanyakazi wa TRA asiependa rushwa anachekwa na jamii kwamba amekuwa kazini miaka mitatu lakini hata gari IST tu hana! Akianza kuchukua rushwa jamii hiyo hiyo inaanza kumlaani, fisadi, mla rushwa, afukuzwe kazi nk.

Sasa wewe ambae unawaponda sana wanawake wanaotoa mimba, ukisema wahuni, hawana maadili nk, lakini ndio wewe huyo huyo ambae hauko tayari asilani kuoa mwanamke ambae aliona sio vema kutoa mimba akaamua kujifungua huyo mtoto. Bado unaona hakubaliki kuwa mke wako - kwa kuwa alizaa nje ya ndoa, ukisahau alizaa nje ya ndoa kwa sababu aliamua kutotoa mimba kama unavyotaka wewe.

Sasa karma ya maisha kwa watu kama wewe - ni kwamba unakuja kuoa mwanamke ambae alitoa mimba kisiri na jamii haijui. Tena huenda alitoa mimba zaidi ya moja na hutakaa ujue kamwe! Na mbaya zaidi, unabambikiwa mimba na mke na kulea mtoto asie wako bila kujua - angalau ungeoa single mother ungejua!

Hatujui mazingira yanayofanya watu wachukue hatua fulani, iwe kutoa mimba au kuwa single mother. Kwa hiyo tusiwahukumu kwa matokeo tunayoyaona. Filosofia ya maisha ni kwamba, ukimpenda mtu basi huyo ndio anakufaa - if you love me forget my past ili maisha yasonge mbele!
 
By the way, nadhani nilisoma mahali kwamba katika watoto wanne jijini Dar es Salaam, mmoja ni sio wa mume ni mimba ya kubambikiwa! Kwa hiyo jamani, maisha si lelemama tuzidi kuleleana watoto!
 
Back
Top Bottom