Mteule halisi
Senior Member
- Oct 21, 2014
- 197
- 97
AiseeTatizo lao kubwa sana ni mtoto yaani wanapenda uwe mtumwa kwa mtoto wake huyo ulomkuta naye hata ukizaa naye wewe bado atahitaji umnyenyekee zaidi huyo mtoto ulomkuta naye. Yaani hatalidhiki kwa mtoto wake huyo mpaka umpende na kumnyenyekea kuliko mama ako mzazi.