Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mi nimeoa single mother wala mengi mnayosema hapa hayako Sawa. Suala la mwanamke kugegedwa halijalishi kwamba ni single mother or not..kumbuka wengi mmeowa waliokuwa madem na wachumba Wa watu...kuna uwezekano mkubwa mkeo akaliwa na Ex wake Hata kama hakuzaa NAE.....tena hiyo ndiyo rahisi zaidi. Wingi waliozaa na kuachana huwa kuna kamtifuano kalikosababisha kuachana hivyo Hata kama watawasiliana kwa ajili ya mtoto haileti garantii kuwa lazima watafunane
 
We endelea nothing is common in this world kila mtu na experience yake....Ya Juma na Anna si ya John na Kimwana... Ya kuambiwa changanya na zako...
 
Single maza mbona fresh Sana'a

Mbona asilimia 90% ya mabint wa Leo n masingle maza sema wangu watoto wao washawazika..

Mimi nadunda na single maza ingawa mazazi mwenzake yupo far nae kinoma na MTT wao yupo kwabibi yao huko

Nishajaza maisha yanaendelea
Umeoa au unapiga tu
 
Mi nimeoa single mother wala mengi mnayosema hapa hayako Sawa. Suala la mwanamke kugegedwa halijalishi kwamba ni single mother or not..kumbuka wengi mmeowa waliokuwa madem na wachumba Wa watu...kuna uwezekano mkubwa mkeo akaliwa na Ex wake Hata kama hakuzaa NAE.....tena hiyo ndiyo rahisi zaidi. Wingi waliozaa na kuachana huwa kuna kamtifuano kalikosababisha kuachana hivyo Hata kama watawasiliana kwa ajili ya mtoto haileti garantii kuwa lazima watafunane
We jifariji tu sasa ngoja amtie mimba ya pili ndo utaelewa vizuri
 
Moja kwa moja niende kwenye mada!

Baada ya kushindwana na mzazi mwenza adi kufikia hatua ya kutafuta ustarabu wangu na kuludi maisha ya ubachela, sasa nimeamua kuanza maisha mapya na binti fulani ambaye niliwai kufanya nae kazi siku za nyuma, aliteswa na mzazi mwenzie akatelekezwa kwasasa anapambana kivyake na mwanae.

Sasa huyu binti alikua kama rafiki tu lakini kuna kitu nimeona ndani yake

1) Anajua kutafuta maisha
2) Hana mambo ya usistaduu
3) Ni mrembo na anajielewa sana

Changamoto kubwa inayonitatiza kwake ni hile picha aliyonayo kichwani kwake maana alichukia kabisa swala la mahusiano na nimetumia nguvu kubwa kumludisha kwenye ulimwengu huo.

Hili lina tatizo au ni faida kwakua kapitia hali flani ya matatizo labda atakua mama bora wa familia yangu?
Ni ushauri tuu ukiona haukufai unaweza kuuacha ni hivi amini nakuambia kama mwanaume mwenzako kamshindwa wewe utamuweza? Kwa kifupi wanawake ni watu wa kujisahau sana ukimuweka ndani ndo utamfahamu vizuri. Nikuulize kitu kidogo je? Umeshawahi kumtamkia kuwa unataka kumuoa? Kama jibu ni ndiyo basi achana nae sababu atajifanya mwema ili akushawishi umuoe ukimweka ndani tuu utayaona mengi.From my experience kuna mmoja nilimtia mistari akakaa sawa nikawa namsoma tuu sijamuambia kama nitamuoa ama vip. Tulikua wapenzi wa kawaida yaan huwezi amini mtu hawazi maisha analeta usista duu mbaya mara leo nataka chips kuku, mara mimi silagi ugali daa nilichoka. Tulikaa miezi mitatu ikabidi nimchinjie baharini bora niwe single kuliko kuwa na single mother.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kweli wanawake wakiolewa wanajisahau sana wenyewe wana msemo wao kwamba akishaolewa anakuwa ametoa mkosi
 
hili ndo jambo ambalo sisi wanaume tunalifumbia macho..in long run..wewe pia utakua adui mda mwingine kwake..na huyo atakua rafiki yake ..ni maisha..huyo ni mzazi mwenzie , they are bonded by blood, so kuw mpole sector hiyo...na navosema long run naongelea 5 10 , 15 mbeleni...kuwa mpole kubali juu chini lilalwo na liwe..kwamba mzaz mwenzie tuuu ndo utakubali fair play,..zaidi ya hapo uwe mbogo
Ndugu,
Mbona upo negative sana, siyo single mama wote wako hivyo unavyofikiria, labda ni asilimia 10 tu ndiyo wako hivyo unavyofikiria wewe katika asilimia 100.
Wapo single mama wametulia na kuheshimu mahusiano yao mapya.
 
Kweli kabisa
 
Single mother wanamattz sana,na wengi ni wanyenyekevu before hujawaweka ndani au bado hajajua ka unampenda.Hivo vyote vikifanyika utaona rangi yake sasa
 
Hii ya kuonesha rangi yake baada ya ndoa si single mummy hata hivi ving'urung'ombe.

Tatizo wanaume wanaongozwa na matamanio ya mwili na wanawake wapo smart kuficha makucha ya tabia za ndani wakati mwanaume kashupaza shingo lake na matamanio yake.

Bahati mbaya siku hizi tunakutana kimjinimjini na tunajuana kimjinimjini.
 
Kabla hujamuoa kuna maswali jiulize,tafakari then chukua hatua.
1.utamruhusu aende kumuona mwanae huko kwa babake na akakae kama siku tatu hivi
2.baba wa mtoto akisema anakuja kumuona mtoto na atalala hapo vipi utakubali?
Vipi ukiwakuta wanapasha kiporo,utavumilia?

Marry a single mother when her ex-husband has been passed away.
 
Back
Top Bottom