simon baker
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 522
- 698
hili ndo jambo ambalo sisi wanaume tunalifumbia macho..in long run..wewe pia utakua adui mda mwingine kwake..na huyo atakua rafiki yake ..ni maisha..huyo ni mzazi mwenzie , they are bonded by blood, so kuw mpole sector hiyo...na navosema long run naongelea 5 10 , 15 mbeleni...kuwa mpole kubali juu chini lilalwo na liwe..kwamba mzaz mwenzie tuuu ndo utakubali fair play,..zaidi ya hapo uwe mbogoMmh kwa picha ilivyo sizani kama hilo litatokea maana kuna mengi sijayaweka wazi ila kuna uadui mkubwa sana