Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mmh kwa picha ilivyo sizani kama hilo litatokea maana kuna mengi sijayaweka wazi ila kuna uadui mkubwa sana
hili ndo jambo ambalo sisi wanaume tunalifumbia macho..in long run..wewe pia utakua adui mda mwingine kwake..na huyo atakua rafiki yake ..ni maisha..huyo ni mzazi mwenzie , they are bonded by blood, so kuw mpole sector hiyo...na navosema long run naongelea 5 10 , 15 mbeleni...kuwa mpole kubali juu chini lilalwo na liwe..kwamba mzaz mwenzie tuuu ndo utakubali fair play,..zaidi ya hapo uwe mbogo
 
hili ndo jambo ambalo sisi wanaume tunalifumbia macho..in long run..wewe pia utakua adui mda mwingine kwake..na huyo atakua rafiki yake ..ni maisha..huyo ni mzazi mwenzie , they are bonded by blood, so kuw mpole sector hiyo...na navosema long run naongelea 5 10 , 15 mbeleni...kuwa mpole kubali juu chini lilalwo na liwe..kwamba mzaz mwenzie tuuu ndo utakubali fair play,..zaidi ya hapo uwe mbogo
Nimekusoma
 
Tatizo lao kubwa sana ni mtoto yaani wanapenda uwe mtumwa kwa mtoto wake huyo ulomkuta naye hata ukizaa naye wewe bado atahitaji umnyenyekee zaidi huyo mtoto ulomkuta naye. Yaani hatalidhiki kwa mtoto wake huyo mpaka umpende na kumnyenyekea kuliko mama ako mzazi.
 
Alafu la MSINGI unatakiwa kujua mkuu...
hayo mambo yote ambayo unayaona ni kwasababu yupo kimpango wakujiweka sawa..
muoe muweke ndani ndo utamjua ...
kama ni sista duu ndo utajua ..nk
hili swala mimi naongea from experience kwahiyo elewa sana ..kama unampenda amua kufanya maamuz ya kumuoa , mkiwa ndani ndo mtajuana vizuri...kwasasa ni mapicha picha tu.
 
Mmh kwa picha ilivyo sizani kama hilo litatokea maana kuna mengi sijayaweka wazi ila kuna uadui mkubwa sana

Usijifariji. Kuna siku utamkuna kisawasawa lakini akikulinganisha na peak ya yule wa kwanza anaona una hitilafu kidogo. Hivi jiulize, ni nini kilikufanya ukaachana na your wife? Kama mlishindwa kuyasuluhisha ina maana hata huyu kuna siku mtashindwana tu.
Kwanza; Keshazoea kujiendesha mwenyewe. Huyo sasa ni DJ. Haulizwi kitu. Keshazoea kujinunulia atakacho. Leo wewe umekuja huko unataka hiki kumbe yeye hakitaki.
Unajisifia mapenzi ya uchumba; ingelikuwa yanadumu, kamwe kusingelikuwepo kuachana. Akheri uoe mjane.
 
Nijuavyo mimi single mama owa pale utakaposikia na kuhakikisha kwamba aliemzalisha ameshakufa{haya ni mawazo yangu tu},atatia tia huruma mbele yako ooh bwana angu wa kwanza alienizalisha amenitenda mambo mabaya kiasi kwamba hata hamu na wanaume sina hata wewe{huku akikutaja jina}naona utanifanyia hivyo hivyo tu.

Hapo anajifanya kukukataa kinamna,well hata kama yupo seriously ila utakapokuwa umeshamuweka ndani akala vizuri akashiba akapendeza,atasahau shida zote na zile hisia za kuwa ana mtoto na mtu fulani zitamjia na atataka kumletea jamaa jeuri ooh mwanao umemuachia mwanaume mwenzio akulelee.

Jamaa nalo likisikia hivyo na hivi limesikia ameshaolewa so vizinga vya hapa na pale linajua havitakuwepo tena litajidai tukutane basi tuzungumze jinsi ya kushirikiana kumlea mwanetu,sasa atakapokuja huku anawaka jamaa akamuona,aah mzee hesabu maumivu.mtoto ni kiungo kikubwa sana kwenye mahusiano ya watu huo ndo ukweli.
 
Hawa wadada nawakuvali mno,, nadhan ajili zao kimaisha ziko juu sana, mood zao na kifikra ziko juu,,


Historia yao inawafanya wajikubali wao kama wao, na mtizamo huo huwafanya wa focus positively,

Ukiweza kumuaminisha kuwa Furaha IPO bado, na wewe unaweza kumkeep safe, utafika mbali...
 
Ila nachojua ukiamua kujitosa kuoa single mother, hakika hiyo ndoa itadumu sana....(Kutakuwa na uvumilivu flan hivi kwa kuhofia jamii itamuonaje ikiwa ataachika tena)
Wewe acha assumption zako wewe anaweza akawa single mother na bado watu wengine wakawa wanamgegeda kama kawa sasa wewe oa single mother kwa sababu tu eti atakuwa mwaminifu mwanamke mwanamke tu hata akiwa single mother
 
Single maza mbona fresh Sana'a

Mbona asilimia 90% ya mabint wa Leo n masingle maza sema wangu watoto wao washawazika..

Mimi nadunda na single maza ingawa mazazi mwenzake yupo far nae kinoma na MTT wao yupo kwabibi yao huko

Nishajaza maisha yanaendelea
 
Hasara:

1. Kulea mtoto si wako.
2. Kumfungulia mtoto benki akaunti.
3. kumhudumia mwanamke.
4. Kuhudumia wazazi wa mwanamke na kuhudumia baba wa mtoto huyo.
5. Baba wa mtoto anayo haki ya kuja kulala kwako muda wowote.

Faida:

1. Kujua thamani ya mkeo na mtoto wako wa kambo.
2. Kuhudumia familia yako vyema.
3. Baraka kwa wazazi wa mke na kuibariki ndoa.
4. Kupata watoto ukiwa na huyo mwanamke.
5. Kuleta maendeleo makubwa na sapoti kutoka kwa mkeo.

[emoji4]
 
Back
Top Bottom