Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,324
- 6,657
Au tu siku moja nyumbani mtoto wa kambo akishika simu yako afu wewe ukasema "" we flani ,acha utaharibu " tayari mama ake ataanza kukasirika na kumlisha sumu mtoto kuwa wewe baba ake wa kambo hufaiHalafu unakuta huyo mtoto hata siku akilitembelea libaba nyumbani kwake linakuwa likali kweli... akishika redio tu utaskia "we acha utaharibu, pumbavuu" na mama mtu hapo yupo kimyaa! ila sasa uje wewe mtie hata kibao cha matako halafu mtoto apige kelele kwanza hilo jicho utakalo angaliwa na mama mtu utatamani ujifiche mfuko wa nyuma.
kiukweli kuoa single mother kunaondoa confidence kabisa ile ya kibaba, mimi kama ni kuoa wanawake wa hivyo nitaoa uzeeni sio ujanani
Hahahaha... sina tatizo nao lakini, aliyetufikisha huku ni CARLOS baada ya kuwatetea eti tukubali majukumu ya yasiotuhusu, hapana kabisa kukubali hiyo kitu.Leo umewapa makavu tena kwa mifano hai hakuna hata mmoja anayekuja kutetea hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na akishalishwa sumu tu tayari ndio kimoja hivyo, akishafika age ya utu uzima atabeba ile dhana ya kwamba huyu alikuwa ana mtesa mama yangu kwa sababu ya hela zake.Au tu siku moja nyumbani mtoto wa kambo akishika simu yako afu wewe ukasema "" we flani ,acha utaharibu " tayari mama ake ataanza kukasirika na kumlisha sumu mtoto kuwa wewe baba ake wa kambo hufai
Sent using Jamii Forums mobile app
Single mother Mimi wanisamehe tu hapo hapanaNa akishalishwa sumu tu tayari ndio kimoja hivyo, akishafika age ya utu uzima atabeba ile dhana ya kwamba huyu alikuwa ana mtesa mama yangu kwa sababu ya hela zake.
Ila wee mwanamke safi sana, hujazwi jazba na mtu usiyemjua wala hutoi matusi ovyo eti tu kwa sababu mtu fulani kakujibu kwa kejeli, safi sana jioni tukutane pale pa siku zote tumalizie siku.kitambo sana aisee hips ziko chini ya magoti saiv...[emoji16]
Aamina!Na Mbingu zikakubariki Uwe Mwanamke na Mama bora zaidi !!
Aww,.umejua kunielewa sanaa mkuu..naomba nije hii jioni tafadhali kabla giza halijawa kuu[emoji4]Ila
Ila wee mwanamke safi sana, hujazwi jazba na mtu usiyemjua wala hutoi matusi ovyo eti tu kwa sababu mtu fulani kakujibu kwa kejeli, safi sana jioni tukutane pale pa siku zote tumalizie siku.
Wakati hayo yote yanatokea wewe hajakuzalia watoto ambao ni watiifu kwako na kwann wasiwe masource of information dhidi ya huyo ndugu yao wa kwanza, kwa taarifa yako wanao wa uzao wako kila watakulinda siku zote dhidi ya uzandiki wa mama yao na mwanae.Na akishalishwa sumu tu tayari ndio kimoja hivyo, akishafika age ya utu uzima atabeba ile dhana ya kwamba huyu alikuwa ana mtesa mama yangu kwa sababu ya hela zake.
Kiufupi tu kwamba mwanaume kulea mtoto ambaye sio wako inakufanya uwe half-father half-stranger huwezi ukamplay roles za ubaba ipasavyo hasa kwenye suala la discipline, m imi siko tayari kuwa nusu baba. Hao watoto ambao ni damu yangu nao pia wanaweza waka side na kaka yao mkubwa dhidi yangu kwa influnce ya mama yao, ulifahamu hilo?Wakati hayo yote yanatokea wewe hajakuzalia watoto ambao ni watiifu kwako na kwann wasiwe masource of information dhidi ya huyo ndugu yao wa kwanza, kwa taarifa yako wanao wa uzao wako kila watakulinda siku zote dhidi ya uzandiki wa mama yao na mwanae.
NB; Jikite kutengeneza maisha yako ya baadae kabla ya kutegemea watoto
Ila ukirudi kwenye ukweli mwanamke kupata ujauzito kabla ya ndoa ni ukosefu wa maadili kwa wazazi wake, kwa hiyo matokeo ya kile dhambi walioifanya.Kiufupi tu kwamba mwanaume kulea mtoto ambaye sio wako inakufanya uwe half-father half-stranger huwezi ukamplay roles za ubaba ipasavyo hasa kwenye suala la discipline, m imi siko tayari kuwa nusu baba. Hao watoto ambao ni damu yangu nao pia wanaweza waka side na kaka yao mkubwa dhidi yangu kwa influnce ya mama yao, ulifahamu hilo?
Nakubaliana na hiyo sentensi yako ya mwisho na nitaifanyia kazi
Basi sasa huo ukosefu wake wa maadili consequences hazibebe mwenyewe, na sio kutubebesha na wengine ambao hatukuwepoIla ukirudi kwenye ukweli mwanamke kupata ujauzito kabla ya ndoa ni ukosefu wa maadili kwa wazazi wake, kwa hiyo matokeo ya kile dhambi walioifanya.
Dah!!watamu haoooo acha tuu. yaani wanajitumaje kwa kitanda mpaka raha. sasa tena umkute mwenyewe anajiweza kiuchumi yeye anachotaka ni kugegedwa tuu mbona utafaudu
Yes "as u said no body like u"Yaani kabisa mimi nianze kulea litoto la mtu sijui nilipie ada ya shule sijui linaumwa nilipie hela ya matibabu hospital, halafu wakati huo libaba lake lipo tu linadunda mitaani??? SHUBMATT NYIE SINGLE MOTHERS BAKINI NA PAPUCHII ZENU TU MAMAEE!
they don't necessarily need to do.
Nishaanza weekend. Najiona nna vizibo 5 tano hapa mezani. Sijui kama mhudumu ameniongezea yeye au ni kweli nimeshazimaliza.Mbona kama ume panic hivi??
Hebu tulia kwanza twende taratibu.... Ni nini kimekusibu?