Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Aaaarrrrghh, mtoa mada acha ukilaza hebu katafute "divinisheni" nzuri na sahihi ya single mother bwana! Upupu gani sasa huu ulioandika?
 
OK Siku nyingine ujifunze kuandika usiparamie kisa tu eti hatujuani humu
Hebu toa kasoro za kiuandishi unazoziona wewe? We jamaa vipi? Tunachojadili ni kitu kingine......we unaleta mada nyingine. Nishakwambia hunijui. Uandishi wangu na personality yangu ni vitu viwili tofauti. Humu tunatumia ID fake naweza fanya chochote. Mi sio mtoto mdogo kama unavyodhani.

Niko likizo nimechill home kwanini nisifanye ninachojisikia?
 
Upo likizo ya wp ww wacha kuzingua watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…