Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Nahisi kuna lugha gongana hapa..Either mimi sikuelewi au sijaelewa mada au wewe ndo hujanielewa.Hivi mdogo wangu ZD, hiyo love haiwezi kuwa na mipaka??
Can someone data his daughter, sister or aunt because he lover (and vice versa)???
Babu DC!!
Nahisi kuna lugha gongana hapa..Either mimi sikuelewi au sijaelewa mada au wewe ndo hujanielewa.
Kuna dhambi kudate au kuoa au kuwa na mpenzi ambaye ni single mother i mean ambaye ana mtoto tayari?
Babu naona leo napata F mwenzio hapa..Labda niweke hivi..ninaposema dhambi sio kama ya kanisani..Nilitaka kusema ubaya au kitu kisichotakiwa..
Hebu nipe msimamo wako labda nitakuelewa...Wewe unashauri au unaona kuwa wanawake wenye mtoto au watoto waliopata "kwa bahati mbaya" hawastahili kuwa na wenzi kama wapenzi au mme kabisa?Wanaume wasidate wanawake kama hao?au ni nini nieleweshe
Sasa nimekupata barabara.Lakini naomba niingie kwenye kundi la wale wanaokupinga msimamo wako..I dont think mtoto au watoto can conquer THE POWER OF LOVE..labda kiwe kitu kingine kama 'LOVE with BENEFITS'
Sijui labda unajua experience nayo ina matter..Lakn mtoto?? sijui bana..Kuna mtu aliwahi kutoa ushuhuda hapa aliona mke mwenye mimba ya mtu mwingine na wanaishi vizuri tu..Nadhani scientific research inahitajika kwenye suala hili.
Why date a mother in the first place??
Babu DC!!
Siyo hivyo dada yangu Kaunga,
Kwa makuzi yangu ya 1947, nililelewa kutambua kuwa mothers date dads and boys date girls...
Is that not cute??
Babu DC!!
Huo ndiyo wasi wasi wangu pia...
Babu DC!!
Kwa nini usichukue fresh product mkafundishana hayo unayoyataka??
Au wewe unataka wenzio wakutafunie uje kumeza tu.....
I can smell evil here....
Babu DC!!
Kumbuka wengi wa wanaodate hawa single mothers ,sio watu ambao wamefuata utaratibu rasmi.wengi wa hawa ni mahawara wako for their interest.Sasa hawara hawa wanaweza fundisha maadili gani?wengi wao pia wanaweza kuwa na umri mdogo kuliko watoto wa huyo wanaye date nae?watoto wa huyo mama wanakuwa kwenye position ipi?jiweke kwenye position ya hao watoto halafu jiulize wewe huwa unakua na hali gani,pindi jitu ambalo sio babako,unajua linamchakachua mama yako,halafu linataka kujua maisha ya familia yenu yanaendaje.Sio kitu rahisi kama kinavyochukuliwa.
Kaunga isikuumize hivyo hadi kutaka kutafuta complications hizo mpenzi.Nasikia kuna masilicon life size robots yametengenezwa, ngoja nizitafute ili waniprogramie la kwangu, maana kunyanyapaliwa kumezidi! LOL
Aksante Da Mkubwa nilijificha kidogo kuibuka nakutana na hizi habari loh.............haya ngoja nijiandae nami niunge foleni yako maana mie single mom na matumizi ya binadamu ni haki yangu ya msingi circumstance tu imeniweka hapa nilipo. LOL Sijui wanataka tuwabake!!
hahahah na mie kaniacha hoi, kama namuona!Uwiiiii umenichekeshajee hapo kwenye RED!!!!!!!!!!!!!!
You were not supposed to show them our weak spots you know. LOL
Na kwa nini mama afanye hayo na kuonyesha wazi kwa watoto wake.
Haina afya sana katika malezi.
Na pia, hawa vijana wanaowakimbilia hawa wa mama,ina maana hawana uwezo wa kuwatokea vijana wenziwe? au ndio mambo ya kupenda mtelemko!