Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
We mwanamke bwana sijui upo kwenye siku zako?? Yaani single mother aolewe halafu mimi roho iniume???iniume kwa lipi labda?? akili yako ndogo sanaMbona Sasa single maza mtaani wanaolewa Na wasio single maza wanaolewa.Na wapo wasio single hawajaolewa Na pia walio single maza
Maisha hayapo hivyoo.
Ndo nyie mnakuwa mmekariri masingle wakiolewa mkipewa kadi ya mwaliko kwa aibu mnakimbia kwa Roho kuuma
Let life Be
Kama hupendi ni wewe Na kaa nalo kimya utaonyesha kwa vitenda..
Kwa hiyo mpaka umehesabu wanaokataaa
Kwani Uzi huu una page ngapi??
Kazi unayo
Kweli! Yajayo yako [emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari zenu.
Nasema hivi. Mwanaume yeyote rijali hawezi kuoa mwanamke single mother. Ninaposema single mother namaanisha wewe mwanamke uliyezaa kabla ya kuolewa.
Na ninaposema rijali namaanisha mwanaume mwenye akili sawa sawa au bara bara anayefikiri kwa usahihi asiyeendeshwa na mihemko bali hutumia akili yake kutafakari mambo. Hii ina maana mwanaume chizi au mwenye ugonjwa wa akili sio rijali. Ili uwe rijali ni lazima uwe na akili timilifu. Ushahidi ni kwamba mwanaume hanithi anapungukiwa pia akili. (Sitaki kulizungumzia hili) na ukishapungukiwa akili wewe sio rijali.
Ukweli ni kwamba mama zetu ( sisi wanaume) wanafurahi zaidi kama utampa taarifa kuwa unamuowa bint ambaye hajawahi kuzaa. Achilia mbali bikra ambayo hata hivyo wanatamani uwaambie unamuowa bikra. Ni heri uwaambie unamuowa bint uliyezaa naye wewe mwenyewe mtoto wake wa kwanza kuliko kuwaambia wamama eti....eti...unamuowa Lilian single mother!!! Nyoyo husononeka ingawa hawawezi kusema wazi wazi. Utasikia tu mama akisema "Kama umempenda na mnapendana sawa" Tafakari sana haya maneno kijana unayetaka kumuowa single mother.
Ni uzembe wa hali juu sana kuzaa kabla ya ndoa. Ni mwanamke ndiye unayeamua ushike mimba au usishike. Sisi wanaume huwa tunatandika tu.....sasa kama you don't take care about yourself....who else will? Halafu unamlaumu mwanaume kakutia mimba na hajakuowa.
Asikulaghai kwa maneno matamu yoyote yale eti beba mimba kabla hajakuowa. Usikubali. Na mwisho wa siku uamuzi unao wewe wa kubeba mimba au lah. Sasa mnakwama wapi? Be smart.
"Asiponioa ntalea mwenyewe!" Huo ni uzembe.....tunajua mna vipato vyenu....mna pesa zenu, mnayamudu maisha....mnaweza kulea watoto wenu. Nikuulize, hivi kuna raha gani kulea mtoto peke yako? Mnapojitosheleza kiuchumi na kijamii (kutokuwa single mother), machaguo yanaongezeka. Hamuoni? Basi someni. Baadaye mnasema kuolewa bahati. Kuolewa sio bahati. Kuolewa mna haki wala msiite bahati....we unadhani wanangu mi ntalea na nani? R.I.P Ngwea
Jamaa akuzalishe huko halafu mi nije nikuoe? Acheni masihara nyie. Mi hakuna niliyemzalisha bila ndoa nikampiga chini sina sababu ya kuowa single mother.
Na wewe single mother uliyekaa chini ukaona ulikosea wapi na sasa umekuwa RAIA mwema, good luck. Ukimpata anayeeleweka mwambie akuoe. Kijana haukatazwi kuoa single mother. Ukimpata oa......yajayo ni yako.
Hakuna mwanaume RIJALI anayeweza kuowa single mother, kwa sababu za kimaadili. Period.
Meraki
Ukisoma uzi wangu nimegusa kila kitu. Sijashawishi mtu asioe....nimesema atakaye na aoe. Point yangu ni mwenye akili sawa sawa. Ukinielewa hapo tu hatutakuwa na haja ya kubishana.Ebu Rafiki angu naomba sasa tuende sawa.Imekukuta nini unawachukia masingle mother?? Je wao waolewe Na nani??
Kwanza wewe Dini gani mwenye chuki hivyo??
Je huamini kwamba binadamu huweza kuchange?
Why unaadhibu Na kushawishi wengine??
We unapata faida gani??
Nijibu huenda una point zaidi
Unajua unanifurahishaWewe utakuwa mwanamke. Si bure.
Haaaaaa haaaaaaa haaaaaaWe mwanamke bwana sijui upo kwenye siku zako?? Yaani single mother aolewe halafu mimi roho iniume???iniume kwa lipi labda?? akili yako ndogo sana
Nani kajengewe chuki? Dada usilazimishe maoni yangu yawe yako.Unajua unanifurahisha
Hapo juu unaparamiana Na Mwanamke??.
Si mwanaume mwenzako
Usiwajengee chuki wengine
Wengi humu tumesomeshwa Na masingle maza.Na baadaye wakaolewa
Na imani hata wewe kwenye Ukoo wako wapo.
Sometimes hutokea kwa bahati mbaya usihukumu
Umeishia la ngapi wewe??Nani kajengewe chuki? Dada usilazimishe maoni yangu yawe yako.
Jamaa anasahau haraka mno inaonekana ametendwa hapo kaandika uzi akiwa na hisia mnoHaaa haaaa umemuweza Kweli.Kujua kwingi
Ukisoma uzi wangu nimegusa kila kitu. Sijashawishi mtu asioe....nimesema atakaye na aoe. Point yangu ni mwenye akili sawa sawa. Ukinielewa hapo tu hatutakuwa na haja ya kubishana.
Aiseeeeeeeeeee!! Naona mtoa post kakimbia kwa post yako.Masuala ya mahusiano hayana kanuni ukiona mtu ametingwa anaongelea kanuni za mahusiano anatatizo kubwa.
Huwa Naona hata watumishi Wa Mungu wanakazana kuweka maelezo yahusuyo mahusiano.
Mtu anamuoa Yule anaependana nae haijalishi single mother, kilema, hazai, dini, kabila n.k
Mimi nasema nitamuoa yeyote nitakaempenda haijalishi mapungufu yake.
Kama unaoa kutimiza wajibu na kufurahisha wengine na wewe hujali hisia zako Utapata tabu Sana.
Uoa umoendae hata aweje utakua na furaha nae
Yaani Eti MTU mwenye akili timamu asioe Single maza.Jamaa anasahau haraka mno inaonekana ametendwa hapo kaandika uzi akiwa na hisia mno
Yaani Laiti angejua....Tumsamehe bureMwanaume rijali awezi kuongee maneno haya
Usijaji mtu kwa past yake
. Nikutakie kila la heri unayefikiri ciyo single maza ni mama za marehemu
Haha
Amekimbia Ndo haaa wanaoanzishaga magroup yakimshinda Analeft group.Na mwanaume mwenye akili sawa hawezi kuongea au kuandika upupu ulioandika.
Mwanaume mwenye akili sawa bila shaka anakuwa na busara na uvumilivu, ambavyo wewe huonyeshi kuwa navyo. Kwa hiyo wewe huna akili sawa, then utaoa single mother.
Utukaribishe siku ya sherehe.
Utajuaje otherwise uoe bikira na siku hizi kuna za kichinaNishasema asibebe mimba. Alotoa mimba means alishika mimba.
Sio lazima asishike mimba koz kuna wengi wamechomoa salama au shida yako ni awe hajanyonyesha?Time will tell. Ikifika mahali hashiki mimba na sababu alitoa mimba....I dnt give a damn.