Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sidhani kama hii inakuwa applicable kwa wote maana kila mtu kazaliwa na kuelelewa ktk mazingira tofauti.
Kipimo cha mwanaume rijali ni uwezo wa kukabiliana na changamoto mbali mbali ikiwemo za ndoa.
Sio kuoa single mother? Japokuwa unaweza kuwa ni test ndani ya mtihani wa uwanaume lakini haimaanishi ndio kipimo halisi.
 
Haswaaaa. Sababu haya mambo ndugu yangu si mazur kwakweli. Hii sitaki nataka kutoka kqa wanawake huwa inasababisha waachike.
Mfano : kuna dada mmoja alikuwa mlokole sana yaan halaf yeye ukimwambia huna pesa anaona kama vile unamnyanyasa na kwamba anaweza kutafuta za kwake.

Atauchuna mwezi mzima anakujibu short tuuu. Ukila bunda anajirudi.. anaanza kukutafuta.
Nikaona hata kama umeokoka tabia hazieleweki tupa kule.
 
Sswasawa na kweli..nikosa kubwa sana kua in love na kivuli cha mtu .
 
Asante mkuu kweli nilipoteza muda kwa yule wa kwanza licha ya urijali wote niliomuonesha nilimkatia mpaka mtoto bima ya afya ili asisumbuane na mzazi mwenzie maana ugomvi wao mkubwa unakuja pale dogo anapoumwa ila bado haikusaidia nikaona nikae pembeni
Hawa visistaduu wanajifanya watoto wa mjini ni wasumbufu sana km wewe ni mwanaume rijali huwezi kuvumilia ujinga wao wanajiona sana km unavyosema mkuu anaona kwamba ukimuacha wewe kuna wengine watakuja
 
Nmeelewa mkuu , kwaufupi wanaume hatupendi USUMBUFU ...hawa wadada wanakua wameshakomaa vzur .
 
Inabidi uwe na roho ngumu kweli!

Ile anakuaga naenda kukutana na baba mtoto tuongee juu ya ada na matumizi ya mtoto aiseee
Hapo lazima uwe na roho ngumu unatakiwa umpe risala kubwa sana

"kwamba jali utu wako asiwe mwepesi kufunuliwa na niheshimu mimi km mumeo ambae nimekusitiri juu ya huu uzaifu wako niliokukuta nao na pia jali familia yako hujui huyo ex wako anakutana na watu wangapi na hujui ana maradhi gani na nuksi gani"
Hapo atakuelewa mkuu
 
Umetumwa na masingo maza uwapigie debe au dada yako ni singo maza..

Kuliko mizigo hio yote si bora nioe mke ambaye hana mtoto ili tupambane kulea mtoto wetu.

Bora ku adopt mtoto yatima kuliko kuoa single mother
 
Yamenikuta sana haya mkuu kwa hawa wasichana ambao hawajatanuka kiakili hata misaada wanayotaka utakuta ni ya anasa Nguo, Mapochi, simu kubwa lakini single mother unakuta anakuomba msaada like chakula, chandarua au hela ya mtaji maana anajua anapoelekea
 
UNGEKUWA WAMIE WEYE NAONA UNGENYOOSHA MIGUU JUU.NI wanaume wachache wanaotuthamin single mother wengi hutoa maneno ya ajabu huona heri alotoa mimba kuliko single mother.. isitoshe ukipata mme wa hivi unawafanya watoto wanamjua ndo daddy wao basi.. yule real poteza mawasiliano kwa sababu atataka akuharibie mahusiano na mwenzako. Wakat ulipokuwa single mother bila partner hakukujali...
 
Umetumwa na masingo maza uwapigie debe au dada yako ni singo maza..

Kuliko mizigo hio yote si bora nioe mke ambaye hana mtoto ili tupambane kulea mtoto wetu.

Bora ku adopt mtoto yatima kuliko kuoa single mother
Sasa kuna utofauti gani Ku adopt na kulea mtoto wa mkeo na ni bora zaidi mana mapenzi yanaongezeka na mama wa mtoto anakuwa na mapenz makubwa na wewe
 
Single mother anayejitambua hawezi kukubali kuolewa na kijana ambaye hakuwahi kuoa. Naandika hili nikiwa na sababu tosha;
Kabla sijaoa nilikuwa na mpenzi wangu ambaye mimi sikujua kama alishazalishwa. Alinipenda sana na hata nyumbani walimpenda sana. Lakini kila nilipogusia suala la kumuoa - alikataa kabisa - sikujua sababu.
SIku ya siku tukiwa beach tunapunga upepo aliamua kunipa ukweli ..
Alisema sio kwamba hataki kuolewa na mimi bali anahofia ndugu sangu (hasa wadada) wakijua kuwa ana mtoto hawatampenda.
 
Hao wanaowakandia ma single mother kutwa kucha wanateseka kwa visichana vidangaji
 
Sasa kuna utofauti gani Ku adopt na kulea mtoto wa mkeo na ni bora zaidi mana mapenzi yanaongezeka na mama wa mtoto anakuwa na mapenz makubwa na wewe
Kama baba yake amefariki ninaweza kuconsider kidogo lakini kama baba yake yuko hai siwezi kulea toto la dume jenzangu ambalo lipo tu linanicheki.

Lakini kwenye swala la kuadopt mtoto hapo unakuwa na uhuru wa kumlea mtoto kwa njia unazozitaka wewe..kama unataka mtoto wako asomee nje ya nchi unampeleka kwa uhuru wote.
Lakini kama mtoto wa single mother na baba yake yupo unaweza kuanza kuletewa masharti jinsi ya kulea mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…