Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Mada ya single mom imekuja tena. Hivi hamchoki nyie watu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili haswa ndio nilitaka kulipatia majibu yake. Mkuu umenielewa vyema sana. Je na wao wana hii tabia kama wabongo? Maana akiaga kwenda kumpeleka mtoto kwa baba yake moyoni unawaza keshaliwa huyu. Ndio maana wanaume tunakufaga mapema. Moyoni yetu ina mambo mazito sana.Hawana shida ni mwanamke kama wengine, tatizo ni moja tu, baba mtoto wake akija kusalimia mwanae uwe mpole
Mkuu nimeangukia humo sasa nahitaji namna ya kuhakikisha hakuna mtafarukuMada ya single mom imekuja tena. Hivi hamchoki nyie watu ?
Nilipelekwa huko na singo maza, mmoja alinitumikisha sana, eti mm nabaki nyumban na watoto pia naachiwa kaz za nyumban, nisipo tekeleza kiumakin alikuwa ananifokea sana hiyo ndio taabu yake, ila mambo mengine ni shwari kabisa,Mkuu kuwa mfanyakazi wa ndani tena. Hili umelipimaje labda. Umenitisha sana
Pole sana mkuu. Nimegundua ulikwenda bila ya shughuli ya kufanya. Hapo ni lazima uwe house boy. Mimi nina shughuli zangu na hata nilipokutana naye ni kwenye shughuli za kikazi. Ila nimejifunza kitu kutokana na experience yako.Nilipelekwa huko na singo maza, mmoja alinitumikisha sana, eti mm nabaki nyumban na watoto pia naachiwa kaz za nyumban, nisipo tekeleza kiumakin alikuwa ananifokea sana hiyo ndio taabu yake, ila mambo mengine ni shwari kabisa,
Sasa we jidanganye baada ya miezi kadhaa, utaleta feedback.it's up to youPole sana mkuu. Nimegundua ulikwenda bila ya shughuli ya kufanya. Hapo ni lazima uwe house boy. Mimi nina shughuli zangu na hata nilipokutana naye ni kwenye shughuli za kikazi. Ila nimejifunza kitu kutokana na experience yako.
Mkuu yeye anakuja bongo kuishiSasa we jidanganye baada ya miezi kadhaa, utaleta feedback.it's up to you
Hapo sawaMkuu yeye anakuja bongo kuishi
Hii haina cha wabongo wala mini, ni kila MTU.Hili haswa ndio nilitaka kulipatia majibu yake. Mkuu umenielewa vyema sana. Je na wao wana hii tabia kama wabongo? Maana akiaga kwenda kumpeleka mtoto kwa baba yake moyoni unawaza keshaliwa huyu. Ndio maana wanaume tunakufaga mapema. Moyoni yetu ina mambo mazito sana.
Sasa afanyeje sasa? Naona kama ni msiba huuNi rahisi kwa mwanamke yoyote kuwa na mausiano na mtu waliowahi kuwa pamoja kama hawajagombana
Huyu hataki mwanae akaishi kwa mama wa kambo ilihali yeye yupo hai. Kumbuka kuwa mwanaume mzazi mwenzie kaoa piaMmmmh huyo kaka ako inaoneka katawaliwa na huyo mwanamke yaan mwanamke anafanya anavyotaka weee kumsalimia gani mtoto hadi kulala,huyo baba wa mtoto aje amchukue mtoto akae nae weekend ikiisha amrudishe kwa mama ake ndio wanavyofanyaga masingo mama