Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mada ya single mom imekuja tena. Hivi hamchoki nyie watu ?
 
Hawana shida ni mwanamke kama wengine, tatizo ni moja tu, baba mtoto wake akija kusalimia mwanae uwe mpole
Hili haswa ndio nilitaka kulipatia majibu yake. Mkuu umenielewa vyema sana. Je na wao wana hii tabia kama wabongo? Maana akiaga kwenda kumpeleka mtoto kwa baba yake moyoni unawaza keshaliwa huyu. Ndio maana wanaume tunakufaga mapema. Moyoni yetu ina mambo mazito sana.
 
Mkuu kuwa mfanyakazi wa ndani tena. Hili umelipimaje labda. Umenitisha sana
Nilipelekwa huko na singo maza, mmoja alinitumikisha sana, eti mm nabaki nyumban na watoto pia naachiwa kaz za nyumban, nisipo tekeleza kiumakin alikuwa ananifokea sana hiyo ndio taabu yake, ila mambo mengine ni shwari kabisa,
 
Pole sana mkuu. Nimegundua ulikwenda bila ya shughuli ya kufanya. Hapo ni lazima uwe house boy. Mimi nina shughuli zangu na hata nilipokutana naye ni kwenye shughuli za kikazi. Ila nimejifunza kitu kutokana na experience yako.
 
Sasa we jidanganye baada ya miezi kadhaa, utaleta feedback.it's up to you
 
Hii haina cha wabongo wala mini, ni kila MTU.

Ila kuwa lakini usije olewa maana hawa watu.mmmmmh, ngozi nyeusi hainaga sauti kwako 😁😁😁😁😁😁😁
 
Habarini watu wa Mungu

Utangulizi:
Kuna kaka yangu alioa (miaka kama mitano iliyopita) mwanamke aliyezaa na mwanaume tofauti na yeye hawajafunga ndoa na pia hawaishi pamoja kutokana na mambo ya kazi kwa pande zote mbili walishatambulishana kwa wazazi pande zote mbili na mahusiano yao ni ya uwazi na jamii inajua.

Pia mwanamke anaishi na mtoto aliyezaa na mwanaume kabla hajaanza kuishi na kaka na huyo mtoto anasoma darasa la 2 sasa(7yrs) kawaida kaka huenda kwa huyo mke kila ijumaa na kurudi jumapili jioni au jumatatu asubuhi sana na kupitiliza kazini kwake.

Tatizo lilipo
Ni kwamba mpaka leo mwanamke (shemeji) anawasiliana na mzazi wa mtoto wake (akiulizwa husema anawasiliana nae kwa sababu ya mtoto na kutuma matumizi na sio kimapenzi), na mara nyingine huja kumwona mwanae anapopata nafasi na kila anapokuja hamshirikishi kaka na akimuuliza hujibu tu alikuja bila taarifa kumwona mwanae na kwasababu anaishi mikoa ya mbali lazima alale hata siku 2 au 3 na akimuuliza analalaje hapo na ataaminije kuwa hawafanyi mapenzi? shemeji husema analala chumba cha housegirl na yeye analala na h/g.

Nimeandika hivi kwa sababu bro hii wiki hajaenda kwa mke kwa sababu kasikia yupo mzazi mwenzie na mke wake, na anakosaga sana amani, wikiendi yote kaishia kulewa tu mpaka sasa mwanaume bado yupo na kaka akitaka kuongea na mwanamke hana shida anaongea nae kwa uhuru lakini mi naona ni maigizo.

Kaniomba jana ushauri na anampenda kweli, nimeshindwa kutoa jibu ila nimemwambia amwambie mwanamke ampeleke mtoto kwa baba yake ili hiyo shida iishe kasema alishamwambia lakini shemeji anadai mtoto wake hawezi kuishi kwa mama wa kambo na kaka mpaka sasa hajazaa nae.

Naombeni pia mawazo yenu, hali ya kaka sio nzuri kwa sasa

(Hanaga mpango na mitandao ya kijamii zaidi ya whatsapp so naamini hawezi kuona huu uzi).
 
Mmmmh huyo kaka ako inaoneka katawaliwa na huyo mwanamke yaan mwanamke anafanya anavyotaka weee kumsalimia gani mtoto hadi kulala,huyo baba wa mtoto aje amchukue mtoto akae nae weekend ikiisha amrudishe kwa mama ake ndio wanavyofanyaga masingo mama
 
Huyu hataki mwanae akaishi kwa mama wa kambo ilihali yeye yupo hai. Kumbuka kuwa mwanaume mzazi mwenzie kaoa pia
 
Hapo Shemeji anakosea sana kumkaribisha huyu mzazi mwenzie mpaka anapoishi!

Ni hivi mwambie brother aachane naye, kama huyu dada atakataa kumrudisha mtoto kwa baba yake.

Pia inawezekana huyu dada kamloga kaka yako, sio kawaida kwa mwanaume kuvumilia ujinga kama huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…