Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mara nyingi wanawake tuna kitu kimoja ambacho huwa kinatuumizaga sana, wanawake tunaogopa sana kuachwa na hasa kama huku kuachwa kunajirudia. Ninachokiona kwa huyo dada shida yake sio pesa ulizokuwa unampa ila anaogopa maumivu ambayo alishayapata hapo mwanzo ikampelekea akawa single mother! Nashauri kubali mkutane na umueleze taratibu hapo alipo amechanganyikiwa kiakili na sio uchizi kama unavyomuona, moyo wake unaugua hayuko tayari kukukosa kwa namna yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo siku, nitaweka uzi hapa...Kuna wanawake ni vin'gan'ganizi dunia hii zaidi ya ruba... unaweza kujuta hata kwa nini ulikuwa na mahusiano nae, kuingia ni rahisi ila kutoka ni shughuli pevu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo siku, nitaweka uzi hapa...Kuna wanawake ni vin'gan'ganizi dunia hii zaidi ya ruba... unaweza kujuta hata kwa nini ulikuwa na mahusiano nae, kuingia ni rahisi ila kutoka ni shughuli pevu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyie muangaliege mtu unajua fika kuwa huyu mwanamke sina future nae lakini mnaachia mastyle na mautamu kama yote unafikiri mtu ataacha kung'ang'ania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mwezi mmoja sasa tangu nimekutana na huyo single mom,mwanzoni nilimwona kama ana adabu,anauvumilivu na heshima nikaamua kujitosa,hana kaz yeyote ya kujiingizia kipato,kidume kilipiga mimba kikasepa! Sasa analea mwenyewe.Kwa kipindi hiki kifupi nimegundua anakiburi,ni mbishi na anajifanya anajua kila kitu.Nilikua namuhudumia kwa kila kitu naye ananipa gegedo.Jicho langu la tatu limeona napoteza muda bora nipige chini na nisonge mbele! Sasa anakuja na gia kua anaujauzito wangu na anataka kutoa,nikimuuliza umepima wapi na lini hataki kusema,nimemwambia kama ipo kwel asitoe ntalea ikithibitika kama ni kwel n dam yangu,mana najua kuna vipimo vya DNA.Anachong'ang'ania ni kwamba tuende hosp.au nikutane nae mahal tuyamalize!! Sasa cjui tuyamalize vipi! Nimemblock lkn bado anatumia sim zengine kunitafuta.Anapiga sim na kutuma msg kama chiz! [emoji3][emoji3][emoji3].Nimejaribu kumdanganya nimerudiana na mke wangu lkn anasema anataka kuja kufanya fujo.Nahis atakua na matatizo ya akil[emoji16][emoji16][emoji16] au ameniona mshua kwa misimbaz nlokua nantupia mara kwa mara.Kiufupi simtaki tena n pasua kichwa.Je? wadau,watu wa dizai hii hua mnafanyaje ili mpotezeane! Mana huyu hasikiiiiii..,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu piga chini huwa yanarudiana na mabwana zao walowazalisha itakula kwako mkuu mm nakupa ushauri tu , mamamaeeeeeeeee , kuna moja lilitaka niua kwa mawazo yaami nilikuwa nalihudumia misimbazi ya kutosha balaa wakati nikienda chirch tena kwa wiki nzima mara moja natoa buku tatu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji9] [emoji1] pumbavu zangu , lakini lenyewe likawa lina nipiga na mwisho wa siku likarudiana na kidampa mwenzio nyooooooooooh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni 'u single mother' wake au kiburi na ujuaji?[emoji848]
 
Back
Top Bottom