Inaonekana hujaelewa nilichokiandika.We nawe. Kwahiyo mtu akishahusiana akiingia ajiue au?
Nimesema yakishakukuta unatakiwa kujitathmin na kujutia ulililofanya na kutorudia tena kufanya jambo hilo,ila mimba usitoe,komaa uzae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana hujaelewa nilichokiandika.We nawe. Kwahiyo mtu akishahusiana akiingia ajiue au?
Sawa bibie.Sidhani Kama tutaelewana maana tulishapishana lugha hapo mwanzo.
Ukijaribu,tu leo lazima niwe mgeni wako huko ulipo.Sijui nijaribu[emoji3526][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nina mpango na wewe ujue ?Umeona eenh?? Na wanaume ndiyo wanaongoza kwa kuukataa ukweli wanataka wanawake ndiyo tukubali kuwa sisi ndiyo chanzo cha matatizo yote kwenye jamii ila wao hawana hatia kabisa!!
Kutoa mimba kwa msamba?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Yaani akichana msamba inatoka?Mayai hayaishi kirahisi sema bwana mimba za kwenye ndoa zinakuaga na mbwembwe kweli.
Anaweza akafika muda anataka kuzaa sasa kila akijaribu waapi.
Nishamwambia azae kabla kizazi hakijalegea maana amefikia hatua anatoa mimba kwa msamba [emoji23][emoji23][emoji23]
Na pia naomba na wewe msome madam @Heavensent kwenye bandiko lake
Sisi wengine tunaishi na familia zetu ndio maana tunaujua ukweli. Yaani hatubahatishi.Wewe na Kiranga huwa mnayumba kwenye maswala ya imani ila kwenye maswala ya mahusiano huwa mnajielewa sana (no offense though)
Haya endeleeni kuwaelimisha hao wavulana wanaojiita mabaharia halafu na wao wanajiona ni wanaume siyo kosa lao maana hata vichaa nao hawataki kukubali kuwa wao ni vichaa na huwa wanajiona wako timamu
Wakisema si ndiyo kama hivyo mnapinga mnakuja na kauli zenu zile eti ooh mwanamke hatakiwi kujilinganisha na mwanaumesasa hapo ni upande wa wanawake,kila siku ni wanaume tu ambao hawataki single mothers, wanawake hawapigi kelele kwamba haifai kuolewa na single fathers,ngoja tusubiri maoni ya wanawake
Hiyo ni maana ya ujumla na kule nilitumia msingi wa lugha vile vile,sema maana ya Marianah ilikuwa ya uongo.Halafu huyu Zurri mbona hapa anasema anapenda kujifunza lugha halafu kwenye ile mada akakataa maana uliyompa ya lile neno
Halafu huyu Zurri mbona hapa anasema anapenda kujifunza lugha halafu kwenye ile mada akakataa maana uliyompa ya lile neno
Wewe subiri utaona.Never in my entire life i will ever play that substitute role unconditionally.
Zurri wewe Ni mbishiHiyo ni maana ya ujumla na kule nilitumia msingi wa lugha vile vile,sema maana ya Marianah ilikuwa ya uongo.
Ahaaa haaaa ... pole sana pia kama base line yako ni mawazo ya ma single maza. All in all, ujumbe wangu ni kuwa penda na kuwajali watoto wako kwa nguvu na akili zako zote na usijifiche kwenye kichaka cha biological parents, we all judge and be judged.
Na ndio maana ukiacha wazazi we still have others we love dearly and cant trade them with anything, kuna ndugu, jamaa na hata marafiki ambao nafasi zao ni za juu sana na hasa kama you have biological parents who was abusive and responsible.
Let's talk as mature people and look into the bigger picture. Sidhani kama kuitwa single mom au kukataliwa is such a big deal compared na effects anazopata mtoto. If you are a responsible man who was raised well and knows the value of a family; being a single dad isn't something you would wish even if no one is going to point a finger at you. Kwa sababu katika yote hata mwisho wa siku victim mkuu hapa ni mtoto. Baba unaweza kuoa; mama anaweza kuolewa lakini kwa mtoto kuna vitu tu vitamfuata kwa sababu tu ni mtoto wa nje.sasa hapo ni upande wa wanawake,kila siku ni wanaume tu ambao hawataki single mothers, wanawake hawapigi kelele kwamba haifai kuolewa na single fathers,ngoja tusubiri maoni ya wanawake
Nakazia hapo,mnayumba hasa Kwenye imani.Sisi wengine tunaishi na familia zetu ndio maana tunaujua ukweli. Yaani hatubahatishi.
Ila kuniambia kwamba nina yumba kwenye Imani,lazima nikutafute aisee,hili ni deni,lazima unilipe.
Lini hiyo?Sasa mbona hata wanawake tukianzisha nyuzi za hivyo wanaume mnazipinga tena badala ya kuja na hoja mnakuja na matusi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baharia Zurri[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]Ukijaribu,tu leo lazima niwe mgeni wako huko ulipo.
Sawa nimeacha ubishi.Uongo wake pale Ni upi!?Zurri wewe Ni mbishi