Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Haipo hivyo kabisaaaa... Yani kinachokupata wewe ni maisha yako Usibebe hiyo sumu ukaenda kuwajaza wengine! Pambana na hali yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushauriu taendelea kutolewa, kila mtu atachukua kwa sehemu yake
 
Yawezekana kabisa Sio wote wana matatizo ndio but mind you in statistics a representative sampling suffices Na huo ndio ukweli, ukioa mwanamke asiyekuwa na bikra tu unahesabika umeoa mke wa mtu kiimani na hata kijamii pia sembuse single mother ambaye tayari ana muunganisho usiojificha wa usiofutika na bwana yake. Pia mleta mada hajazuia watu wasio single mothers bali alichofanya ni kama kutoa taadhari hivyo utaamua mwenyewe kama ushauri wake unafaa au haufai Sasa huu mtazamo wako hapa sio mahala peke ungesubiri au ungetafuta mada inayo fit na huo mtazamo wako ukachangia ingeleta maana, ukiuleta hapa kwenye mada hii utakuwa unafanya contextual derailment. Ukilazimisha kuuleta hapa sana sana tutakuona wewe ni single mothers sympathizer na unajaribu kufanya justification ya maovu yao na huna lingine Nafikiri kwenye mjadala kama huu hapakuwa na umuhimu wa kuleta blah..blah za ulinganisho na zinginezo, ulichopaswa kufanya hapa ni kuchangia mada bila kutoka nje ya mantiki ya mada yenyewe, habari za kuuhusishanisha hii mada na nyingine ambayo hazipo hapa ni dalili za kutokuwa na hoja yenye mashiko yaliyo sawia na mada husika, mbona kuna walipigana na hii mada bila kutoka nje ya mantiki kabisa, wewe una kwama wapi?
Dude hapa hatuko jukwaa la elimu wala la lugha, halafu sioni kama lengo lako ilikuwa ni kuja hapa hili ufundishwe namna ya kujadili mada. Hii haiwezi kuwa serious hata kidogo.
Asante mkuu nimekuelewa sana
 
Haya mimi ya Mjane siitaji kuyajua... Kumbe wajane tu ndo wanahaki ya kuolewa??? Ila waliolewa wakaachika hawastahili maana ni masingle mamaa...labda wasubiri wanaume zao wafe wakiwa wajane hapo ndo sahihi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji846][emoji846][emoji846] Bhani yako mbaya sana.
Walioachika wana waume zao tayari, wametengana kwa muda tu. They are connected already
 
Na wewe tunakupa ukweli wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tushausikia ukweli wa single mama kwa upande wako. Najua ukweli huu wa UNAFIKI unakuuma ila umeze tu mzee!
Wewe ndio mnafiki mkubwa, unajipendekeza kwa wadada kwa kuukwepa ukweli, huo ndio unafiki. Effeminist
 
Ushauriu taendelea kutolewa, kila mtu atachukua kwa sehemu yake
Eeeh sawa kabisa ila acha kuwasema vibaya waliokosea na Kuona wao hawana haki na hawastahili msamaha wa dhambi kama wengine. Usingle mama sio Ukilema ni sehemu ya maisha ambayo hakuna anaependa kuiishi.. Kuanza kuwahukumu kwa uasherati na uzinzi akati Huwa wanatubu maana ni dhambi kama zingine unakosea. Unasahau hakujipa Mimba mwenyewe na wengine hubakwa kabisa so Usiwe Hakimu juu matatizo waliyowapata wengine na kujihesabia sana haki.
 
Walioachika wana waume zao tayari, wametengana kwa muda tu. They are connected already
So point yako nini??? Kuwa sababu waliolewa hawastahili tena kuolewa hata kama Wameachana na wanaume zao kwa sababu kama Uzinzi na tabia za ovyo za wanaume zao???[emoji15][emoji1787] Mbona wanaume wanaoa au wao hawako connected[emoji23][emoji23][emoji23] Omba sana usipate mtoto wa kike haya unayoongea leo kwa ushujaa kuwa malezi mabovu hakika Utajishuhudia kwa macho.
 
Wewe ndio mnafiki mkubwa, unajipendekeza kwa wadada kwa kuukwepa ukweli, huo ndio unafiki. Effeminist
Suala la kushindwa kuwaambia Vijana waliooa ndugu zako waliozalishwa bado wakiwa nyumbani kuwa wanapotea njia japo hata kwa Msg uwashauri na Kuja hapa kuanza kuwa attack masingle mama ni UNAFIKI wa kiwango cha Lami. Hujui nini Kilitokea mpaka Mtu akawa single mama just chill bro usiwe hakimu wa maisha ya watu.
 
Yeye anakwambia eti kwa vile mwanamke anapata madhara ila mwanaume hapati madhara basi hana makosa yaani yeye anaamini anayepata madhara ndiyo mwenye makosa na anapaswa kuonywa ila asiyepata madhara hana makosa na hapaswi kuonywa
Yani ni Hovyoo.. Hovyooo... Mtazamo finyuu..
Ana tatizo kubwa. Anahitaji msaada.
 
Siku ukinijua utashangaa. Nina mpango wa kujifunua humu jf wala sihitaji kujificha. Ngoja nimalize mabandiko yangu. Na pia kama mtu amefeli huoni kuna chakujifunza hapo? Shupaza shingo tu, kizazi cha nyoka kilichaharibika.
Lini hiyo brother unajifunua??
[emoji2960][emoji3526][emoji847]
 
Eeeh sawa kabisa ila acha kuwasema vibaya waliokosea na Kuona wao hawana haki na hawastahili msamaha wa dhambi kama wengine. Usingle mama sio Ukilema ni sehemu ya maisha ambayo hakuna anaependa kuiishi.. Kuanza kuwahukumu kwa uasherati na uzinzi akati Huwa wanatubu maana ni dhambi kama zingine unakosea. Unasahau hakujipa Mimba mwenyewe na wengine hubakwa kabisa so Usiwe Hakimu juu matatizo waliyowapata wengine na kujihesabia sana haki.
Uko sahihi, mimi sijazungumzia dhambi. Msamaha ni kwa wanadamu wote bila kuchagua. Ila kwa mabinti ni heri wakatunza ubinti wao kuliko kujiingiza kwenye ngono za mapema na kuangukia kwenye kundi hili. Baadaye itakuja kuwa majuto kama inavyoonekana sasa
 
Nini kimekukwaza mkuu? Badala ya kujadili hoja unajadili mtu. Wenye ufahamu wameelewa maana, kwani kauli kama hizi zinaleta signals fulani.
Mbona wapo wengi tu humu wameacha kujadili hoja na wameanza kujadili watu ila haujawaambia hayo?? Au kwa vile wale wamekuunga mkono huyo amekupinga ndiyo maana??
 
Eeeh sawa kabisa ila acha kuwasema vibaya waliokosea na Kuona wao hawana haki na hawastahili msamaha wa dhambi kama wengine. Usingle mama sio Ukilema ni sehemu ya maisha ambayo hakuna anaependa kuiishi.. Kuanza kuwahukumu kwa uasherati na uzinzi akati Huwa wanatubu maana ni dhambi kama zingine unakosea. Unasahau hakujipa Mimba mwenyewe na wengine hubakwa kabisa so Usiwe Hakimu juu matatizo waliyowapata wengine na kujihesabia sana haki.
Pia hakuna sehemu nimehukumu dhambi, mimi ni mkristo, nimesem aawazi kwenye comments nyingi tu huko juu, msamaha wa dhambi upo. Hao ni kwa wanaoaminikatika Mungu. Repentence is a U-turn process. Kama uliutia mwili addiction fulani, unahitaji neema kubwa kuiacha, si kufumba na kufumbua.

Pia kukemea dhambi kama uasherati si kuhukumu hata kidogo, ni wajibu. Tatizo la makanisa ya siku hizi yamegeuka "feel good churches," yaani mtu anakwenda kufarijiwa ili ajihisi vizuri na si kukemewa kuacha dhambi. Kumbe Munguhahitaji watu wengi, anahitaji watu waliotubu. Kukemea uasherati sio kuhukumu ndugu yangu
 
Unaona wewe mwenyewe umeacha kujadili hoja unaanza kujadili mtu yaani wanaume wengi hiyo ndiyo defensive mechanism yenu mkishindwa hoja mnaanza kutaka kuwajua hao watu waliowashinda hoja wakoje

Mnaamua kuanza kuotea jinsi walivyo kwenye maisha yao halisi na mtakavyojisikia kuwaperceive ndivyo hivyo mnavyoconclude hata kama siyo ukweli basi tu ili kufurahisha nafsi zenu ila kwa kifupi tu ni kwamba unatamani kunijua lakini hauwezi kunijua
I am grown up kupita maneno ya watoto wa facebook. Ukweli utasemwa tu,ila watu kama hawa tunaona what is behind the scene. Usitazame sura ya mbele tu, case settled.
 
Suala la kushindwa kuwaambia Vijana waliooa ndugu zako waliozalishwa bado wakiwa nyumbani kuwa wanapotea njia japo hata kwa Msg uwashauri na Kuja hapa kuanza kuwa attack masingle mama ni UNAFIKI wa kiwango cha Lami. Hujui nini Kilitokea mpaka Mtu akawa single mama just chill bro usiwe hakimu wa maisha ya watu.
Sawa nimekuelewa mtazamo wako.
 
Unaona wewe mwenyewe umeacha kujadili hoja unaanza kujadili mtu yaani wanaume wengi hiyo ndiyo defensive mechanism yenu mkishindwa hoja mnaanza kutaka kuwajua hao watu waliowashinda hoja wakoje

Mnaamua kuanza kuotea jinsi walivyo kwenye maisha yao halisi na mtakavyojisikia kuwaperceive ndivyo hivyo mnavyoconclude hata kama siyo ukweli basi tu ili kufurahisha nafsi zenu ila kwa kifupi tu ni kwamba unatamani kunijua lakini hauwezi kunijua
Poa, nimekusoma. Nakuachia iwanja wa kashfa, mimi najikita kwenye mada
 
Back
Top Bottom