Hawa wanaume wamekuwa watu wa ajabu sana,tena sana
Wanawake wapo tu wengi mtaani,wazuri na wavumilivu na wanaojua mapenzi lakini anawaacha anakimbilia wanafunzi ,halafu wanawapa mimba miaka 30 jela
Hiyo haitoshi,nimekutana na kaka mmoja analalama kwa mwenzake alivyo kwenye mahusiano na binti wa umri wa miaka 17 na anavyomnyanyasa
Huyo mwanaume anadai amekuwa kwenye mahusiano na huyo binti wa kidato cha Tatu ndani ya miezi 4 tu ametumia zaidi ya laki Tatu
Anasema mwanafunzi amekuwa akimuomba hela ya matumizi mara kwa mara,na amekuwa akimuomba amnunilie vitu vya gharama
Hata wakiwa 6 kwa 6 hapati ushirikiano wa kutosha na hudai amechoka mapema na siku ya kumpa mapenzi ni baada ya mwezi mmoja na huku kila siku anatumiwa SMS za kuombwa hela
NB.Nimegundua wanaume hawana akili,unamuacha single mother mtaani,wa kukupa mapenzi unavyotaka unakimbilia under 20 halafu unaanza kulalama kwa wenzio
Mtaishia gerezani wote, acheni wanafunzi, madada tupo wengi mtaani,tunajua mapenzi na unapewa bila ratiba,na matumizi yetu ni kidogo sana
Acheni maisha ya risk
Et mwanamke unatuma tu sms za kuomba pesa afu hutoi love huo ujinga mabaharia hawanaga hzo,mwingine utasikia hatufanyi mapenzi mpaka ndoa kama ndo hvo sio mbaya na wew usitake pesa zake subiri had ndoa mfyuuu...mbaya zaid ucpompa et ananuna mbona yeye anavosem tusubir ndoa baharia yuko kawaida.
NB.Wanawake wengi wao wanaona wasipopew wakitakacho kwa mda muafaka kama hapendw na kuanza kutafta matabaka mangine