Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kuelewa concept, usitetee uharibifu kwa sababu tu kwenye jamii wapo. Simamia kweli daima, usisombwe na upepo wa mazoea, angalia msingi wa jambo naw utakuwa salama na kizazi chako, Mwenyezi Mungu akubariki
Humu tupo wengi sana tukiacha ushabiki wa mitandaoni,Mimi hapa nawakaribisha wenzangu.Ukweli jamani sisi tuliooa Single mom tunapata raha sana yaani Haiadithiwi na ndoa zetu zinadumu sana mimi huu mwaka wa 9 sasa....Nasikitika hao wanaotukandia sie kila siku unasikia wameua au wameuawa na wake zao(Someni Alama za nyakati)..NAKUPENDA SANA SINGLE MOM WANGU!!
Nikija kumuona mwanangu lazima tupashe kiporo,we jifariji tu[emoji16]
Huyo sio single mom tena. Ushambadilisha status mkuu. Zidi kumheshimu na kumpenda.
Wabarikiwe wanawake wanaolea watoto wao wenyewe. Potelea mbali the reason which made them to have such status. But they really need our respect and support.
Kama ni single mom ya mzazi mwenzie kufariki sawa, ila kama ni single mom ya kuachana na mzazi mwenzie basi pole.
Mwanamume humfundisha mkewe kuenenda kwa jinsi atakavyo na sio vice versa. Kuchukua single mother mwenye mafunzo na uzoefu kutoka vyanzo tofauti ni kujitakia matatizo.
SawaKumbe tuwaache watoto wa kike wazalishwe hovyo basi, maana limekuwa jambo jema machoni pa wanawake. Pia wanaume wanaoa zaidi wanawake waliozalishwa hovyo na ndoa kudumu. Basi sawa
Sumbai shikamoo kaka
"Siku zote mwanamke ni;
1. Mama
2. Dada
3. Mpenzi
4. Mke
Aheshimiwe sana, mwanamke hawezi kujipachika mimba bali tunawapachika sisi wanaume, mrishowe tunawaona mkosi na wakosaji...walaaniwe wite wanaozalisha na kukimbia watoto na mama zao.
Be blessed mkuu KingYSina single parent lakini you are totally wrong.
Hata mkeo alishaliwa au ataliwa sana so hakuna tofauti na huyu, huenda bao moja na la kwanza kwake ndilo lilimpa mimba.
Jambo la muhimu oa umtakaye regardless ana watoto wangapi...fuata moyo wako