Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Hili suala la single parenthood muda mwingine inatakiwa hata sisi wakaka tukijafakari.kuoa singo maza ni mtihani sana na unatakiwa uwe na moyo wa nyama kama sio wa chuma.
Aache kulia lia,ajikaze tu kwani maisha ndivyo yalivyo!!
Mkuu Demi kwem?Mambo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine unakutana na mdada kwenye maeneo yako ya kazi, unatokea kumuelewa unamuomba namba yake ya simu anakataa, haukati tamaa unaendelea kumsumbua huku ukimletea utani wa hapa na pale hatimae binti wa watu anaamua tu kukupa namba kwa shingo upande, Baaada ya hapo unaondoka huku unakenua meno ukijihakikishia lazima umpate.
Taratiiibu unaanza kuwasiliana na mdada wa watu kupitia ile namba yake aliyokupa, unamjulia hali kila kukicha na kumtumia jumbe fupi fupi za kumfurahisha, mwanzoni yeye haoneshi kujali texts zako kuna muda anazijibu na kuna muda hazijibu kabisa, anakuletea mapozi kibao lakini kwa sababu wewe una lako jambo akilini wala hata huoneshi kuchukizwa na ushirikiano wake mbovu kwenye mawasiliano.
Baada ya kukuona una mjali sana kuliko hata watu wake wa karibu, binti wa watu taratiiibu anaanza kujenga hisia na wewe, anaanza kukipigia sometimes yeye ndio anakuwa wa kwanza kukujilia hali na hata kukushirikisha kwenye mambo yake akitaka umpe ushauri. Sasa na wewe akishafika hatua hii unaona enheeeee huyu ni wangu tayariiii unamuomba mtoko siku moja na yeye bila hiyana anakubali kwa moyo mweupe.
Siku ya mtoko unajiandaa siku nzima, unavaa raba kali,pamba kali kisha unajipulizia deodorant yenye harufu nzuri kweli,mfukoni una vijisenti vya kuzigia,hapo umeshaazima na gari, baada ya hapo unampandia hewani anakwambia tayari ameshamaliza kujiandaa bila kuwaste time unaenda kumchukua mtoto mzuri ukiwa na maconfindence ya kufa mtu.
Mkiwa kwenye date unamsifia sana jinsi alivyopendeza huku ukimuangalia kwa jicho la matamanio mpaka yeye mwenyewe anajishtukia kwa aibu ya kike, hajakaa sawa baharia unamfungikia ya moyoni kuwa jinsi gani anavyozikonga kuta za moyo wako mpaka anafanya mapigo ya moyo wako yanaenda anticlockwisely, kwa sababu tayari hata yeye alishaanza kukuelewa basi anaishia kutabasamu tu akitoa ishara ya "ni wewe tu mpenzi".
Hatimae muda wa kuondoka unafika mtoto anakwambia naomba unirudishe nyumbani, lakini wewe unamshawishi muende kwako angalau akapajue halafu ndio unampeleka kwao naye anakubali tu bila hata kujua kinachoenda kumkuta huko maskini.
Mpaka anaingia ndani mwako hapo damu ishachemka kitambo abdallah kichwa wazi alishasimama mpaka misuli inauma, unatumia mbinu zako zote za kibaharia mpaka unafanikiwa kumvua pichu. Ukimbuka jinsi alivyokusumbua tangu siku ya kwanza basii papuchi yake unaipiga haswaa usiku mzima yaani inakuwa ni goli after goli mpaka anaomba kupunzika.
Basi mpaka hapo tayari anakuwa ni mboga yako, unajipigia tu muda wowote unaotaka, miezi miwili baadae anakupa taarifa kuwa ana ujauzito wako na wewe taarifa hizo unazipokea kwa shangwe huku ukimuhaidi kuwa nae bega bega, ghafla anakuona unaanza kupunguza mawasiliano yaani unakuwa si tena kama yule wa zamani uliokuwa huwezi kulala bila kuskia sauti yake.
Hatimae muda wa kujifungua unafika na anajifungua salama, ukiwa kama baba unamuonesha kufurahishwa na ujio wa kiumbe chenu kipya kwa kumletea vizawadi vya hapa na pale... baada ya hapo unapotea kabisaa hata namba ya simu unabadilisha kila akikutafuta hakupati, unakuwa umemuingiza rasimi kwenye USINGLE MOTHER.
Anaangaika kulea mtoto mwenyewe kwa shida sana lakini kwa kudra za Allah mtoto anakua tu vizuri, miaka mitatu baadae anagundua umri wake bado unamruhusu kuwa na mwanaume wa kujenga nae familia, hivyo basi anaanza kutafuta mwanaume wa kuanzisha naye mahusiano mapya ila safari hii akiwa makini sana...!!
Katika kutafuta kwake mwanaume kwa huko mitaani mtoto wake anakuwa ni kikwazo kikubwa, mwishowe anaamua kuja kujaribu huku mitandaoni ambako nako anakutana na maneno makali sana kuhusu single mothers kutoka kwa watu kama mzabzab na bigmind, anaanza kukumbuka jinsi alivyoupata huo usingle mother anaumia sana, maana alimuamini mtu ambaye hakuwa na mpango na yeye wa kudumu na badala yake alikuwa ni muwinda papuchi tu.
SOME SISTERS ARE SINGLE MOTHERS B'SE OF DEADBEAT NIGGAS.
Sent using Jamii Forums mobile app