Single mother kwenye jamii zilizostaarabika hua anatengwa kabisa hao huitwa wasimbeHakuna "wajibu" wa haramu.
.
Sema wanafanya haramu tu. Mashetani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Single mother kwenye jamii zilizostaarabika hua anatengwa kabisa hao huitwa wasimbeHakuna "wajibu" wa haramu.
.
Sema wanafanya haramu tu. Mashetani.
Wanawake ndio akili wanakua hawana, na hawatokuja kua nazo, bible imesema ishini nao kwa akili means hawana akiliMfano Mwanaume mmoja anawapatia mimba wanawake 10+ na anaenda kuongeza. Je hapo nani wataonekana zaidi kuharibu kati ya wanaume na wanawake?
DuhMasingo Maza ni malaya na mashetani wanaoishi duniani , Hilo kundi la singo Maza na wajane ni kundi la malaya waliokubuhu na hawatakiwi kuonewa huruma,
WEwe inaonekana single maza na kama bado basi ni suala la muda tu lazima uwe single maza100% njaa haijawahi kumpendeza mtu
Wakuwapa heshima umewakosa hadi uipoteze kwa single mother na wajane?Duh
Mshukuru mungu umelelewa na wazazi
Jitahidi kuheshimu wakina mama
Tunawakilisha Taifa kimataifaMa singo baba, sababu zao ni nini?
Chunga ulimi huo uliponza kichwaWakuwapa heshima umewakosa hadi uipoteze kwa single mother na wajane?
Usipende kuhukumu kwa ujumlaWakuwapa heshima umewakosa hadi uipoteze kwa single mother na wajane?
Mimi mwenyewe hapa nataka kuliwakilisha Taifa nikamwache single mother mmoja huko nje kisha nirudi nyumbaniMi kwa upande wangu nawaheshimu sana singo Maza
Tujitahidi kuwajaji kwa kuangalia kipi kimesababisha wao kua singo maza
Una kufuru sanaWakuwapa heshima umewakosa hadi uipoteze kwa single mother na wajane?
Yatamtokea puaniUsipende kuhukumu kwa ujumla
Sana yaan anakufuruUna kufuru sana
Nnachofahamu ni kuwa wengi mambo ya wake yaliwashinda kwa ushoga.Tunawakilisha Taifa kimataifa
Pia wazee wengi ni wanawake. Hivyo almost ni 50% Kwa 50% Kwa wale wanaozungumziwa hawataki kuoa/ hawaolewiHiyo dhana kua wanaume ni wachache hua sikubaliani nayo ,ukiangalia taķwimu za sensa almost tuko sawa wanaume ni 49% na wanawake 51% na mashoga ni wachache ila machangudoa ni wengi zaidi
Ni uvivu tu hakuna binti mpambanaji aliwahi kukosa maokotoHii yote sababu ya njaa, hamna Binti anayependa kuliwa na mzee
Hajui Kuna wanaume ni wapumbavu wametelekeza watoto waoYatamtokea puani
Kwahiyo wanaume hatuna makosa 🤔🤔Usingle mother unasababu nyingi lakini kuu kuliko zote ni tàbia ya UMALAYA ZA MWANAMKE
ASILIMIA 99% YA SINGLE MOTHER ni Malaya in nature
Malaya anasifa zifuatazo;
1. Kufanya ngono Kabla ya Kuolewa
2. Kushindwa kujizuia Hisia za Mwili na kukurupukia mahusiano ya ngono
3. Kukaidi Mafunzo ya Wazazi na wakubwa Zake.
4. Uchafu yàani Kulala na Wanaume hovyohovyo
5. Tamaa mbaya ya Pesa alafu Mvivu kufanya Kazi.
Umaskini siô chanzo cha Umalaya na haujawahi kuwa chanzo cha Umalaya ila uvivu na TAMAA mbaya ndîo chanzo cha Umalaya.
Mwanamke yeyote àmbaye hajaolewa na Bikra alikuwa Malaya hivyo Hana Haki ya kumsema vibaya single mother. Yeye tuu ndiye hakupata Nafasi ya kushika Mimba ila tukio Walilofanya ni moja. Lakini wàpo waliotoa Mimba au Mimba zilizoka na kuwaepusha na usingle mother.
Single mother wanaotokana na Ndoa kuvunjika ni wachache Sana ukilinganisha na waliopata Mimba kiholela.
Tunaliwakilisha Taifa kimataifa sasa hivi ni kuongeza idadi ya single mother mpaka the USA tushatoboa Afrika Mashariki na Kati mpaka kwa Madiba tunawakilisha mpaka China Japan Urusi kote huko Canada tupoNnachofahamu ni kuwa wengi mambo ya wake yaliwashinda kwa ushoga.