Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

Namtaendelea kupambana mpaka matako yatoke moshi yaani chuma ulete,
Unajifanya ushirika ni kitu kigeni kwako M__fck u.
Wanaume ni wajibu wetu kupata pesa na nyie wanawake tuje kuwa enjoy tukiwa nazo. Ushirika upo kwenye vyama vya ushirika sisi wafanya biashara dada. Wewe hata Elimu tu huna.
 
Wakinga kama wakinga, ni kweli wanazisaka hela ila mbona ni kama ukweli umeuficha, hela wanazisaka kwa waganga zaidi, ni wachache wanaosaka hela kwa akili na uwezo wao ambao Mungu amewapa, labda useme saizi wakinga wameamka kusomesha watoto wao hapo ndo walipoamka, maana mtoto alikuwa akimaliza darasa la saba dukani
 
Muulizie mwakipaande ingawa alifaruki ila alimrizisha mwanae ambae alikuwa akiishi mwanza wakati wa miaka ya 2000, sjui kwa sasa yuko wapi.
Huyo ndo alikuwa mtaalam wa makafara ya kujipatia pesa.
Nikiwa na muda nitawaletea hadithi ya ukweli ya mkinga aliyetaka kumtoa mkewe kafara, wakati huo huyo mkinga alikuja Dar kutoa gari mpya bandarini akamwambia mkewe amfuate dar ili warudi pamoja................kilichofuata anajua mkewe(ambae aliondoka kwenye ndoa baada ya tukio hilo) na dereva alokuwa amlete mke dar............
Acha uhuni wewe,Yule mtoto wake wa mwanza ni mlokole na sio mganga

Alikuwa mfanyabiashara Songea na Mbinga,Duka lake lilikuwa Mbinga

Mimi nimekaa hapo kwa Mwakipande sana tu

Kama ni mzoefu wa huko ,unachukua boda boda tu mpaka kwa Mwakipande toka pale Ikonda
 
Tuacheni upumbavu wa fikra za kishirikina na kichawi wajameni, tujitambue na tutumie maarifa, akili,uwezo ikiwezekana na nguvu tuwe matajiri kama alivyo MUNGU baba yetu.
 
Wakinga kama wakinga, ni kweli wanazisaka hela ila mbona ni kama ukweli umeuficha, hela wanazisaka kwa waganga zaidi, ni wachache wanaosaka hela kwa akili na uwezo wao ambao Mungu amewapa, labda useme saizi wakinga wameamka kusomesha watoto wao hapo ndo walipoamka, maana mtoto alikuwa akimaliza darasa la saba dukani
Big up.
 
Na wachagga wamekua matapeli pia😂😂 akina mwacha malisa etc. Wapo. Mchagga na kanisa tena? Me mwenyewe napanga kufungua. Hawa ni waganga wa kienyeji waliochangamka
Ni wapenda janja janja sana, na ni wapenda shortcuts na ni risk takers wa kutumia akili mingi.
 
Wakinga zaidi ya masharti hayo la kwanza lazima umuue au umfanye msukule ndugu wa karibu. Yaani Mama, mtoto wako au mdogo wako.

Mali za Wakinga ziangalie hivyo hivyo ila ni mateso matupu, zote ni mauzauza tu. Unakuta mtu ana hoteli ya kisasa lakini analala kwenye chumba cha stoo na mabox

Kama huna ushahidi, huna haki ya kuongea ??!
 
Back
Top Bottom