Jamesdominic
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 549
- 732
Kabisa etikunakingine apo juu kinajitetea.Wachawi lazima mtafute namna ya kujitetea. Kama mna hela zilizonyooka mbona mnaishi kama malofa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa etikunakingine apo juu kinajitetea.Wachawi lazima mtafute namna ya kujitetea. Kama mna hela zilizonyooka mbona mnaishi kama malofa?
Miaka ya hivi karibu jamii ya Wakinga ni kama imeamua kuwa serious kupambana na umaskini.
Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki.
Unfortunately maneno yamenza mara uchawi mara kafara yaani blah blah kibao.
Ukweli mchungu jamii nyingi za Tanzania zamani zilikuwa zinahisi pesa ni mbaya yaani ukiwa tajirii utasemwa wewe ni fisadi, mchawi na vitu kama hivyo.
Mtu alikuwa akiwa na uhakika wa kula basi ana relax pasi kuangalia future generations.
Sasa hivi wakinga wana umoja wa kuinuana kiuchumi hasa kwenye biashara.
Haya maneno nahisi yatawatoa kwenye reli.
Wachaga walisemwa vibaya sana kuhusu pesa miaka ya nyuma Ila wakawa kama kisiki Cha mpingo hawakujali Wala nini. HADI Leo bado wanasema Ila hawajali chochote wao ni pesa na pombe.
Ieleweke dunia ya Leo culture ni moja tu ambayo ni HELA.
BILA HELA UTAISHI KWA MATESO SANA DUNIA YA LEO
Na siyo mbeya tu! Yaani atata sisi uku tunawajua😜😜.Nafikiri umri wako mdogo,kwa taarifa tu wakinga biashara ya kishirikina hawajaanza hivi karibuni kama unavoamini,tangu miaka hiyo,sisi watu wa Mbeya tunawaelewa vyema hawa watani zetu
Ukimaliza kuandika nijibu swali hili,Kwakweli mimi hili la kusemaga kabila fulani wamepata kwa kafara sijui uchawi wala halinikaagi kabisa kichwani.
Nachkaminini wakinga pesa zao wamezipata kwa kufanya sana kazi. Pia miti na kilimo kimewapa mitaji. Sisi wachagga pesa zetu tumezioata kwa kutumia sana nguvu. Hatuna ardhi. Na pia si kweli kwamba eti wachagga wameondoka kkoo ama wakinga wametuzidi ni uongo. Sisi ni kabila kubwa sana ukiacha udogo wa mkoa. Wachagga wamevuka na kuingia katika uzalishaji kabisa.
Kwa kuongezea jambo, wakinga wana nidhamu sana ya pesa. Hawaichezei. Wanaitunza mno na watafika mbali. Kwahiyo sitaweza wasakama kabisa katika hili. Ila ardhi yao sasa hivi tumeivamia na watanzania wengineo. Pambaneni wakinga umaskini unadhalilisha sana
Nyie mliosoma mlijufunza namna ya kuweka ndugu zenu misukule. Basi nibakie bila elimu
Kwakweli mimi hili la kusemaga kabila fulani wamepata kwa kafara sijui uchawi wala halinikaagi kabisa kichwani.
Nachkaminini wakinga pesa zao wamezipata kwa kufanya sana kazi. Pia miti na kilimo kimewapa mitaji. Sisi wachagga pesa zetu tumezioata kwa kutumia sana nguvu. Hatuna ardhi. Na pia si kweli kwamba eti wachagga wameondoka kkoo ama wakinga wametuzidi ni uongo. Sisi ni kabila kubwa sana ukiacha udogo wa mkoa. Wachagga wamevuka na kuingia katika uzalishaji kabisa.
Kwa kuongezea jambo, wakinga wana nidhamu sana ya pesa. Hawaichezei. Wanaitunza mno na watafika mbali. Kwahiyo sitaweza wasakama kabisa katika hili. Ila ardhi yao sasa hivi tumeivamia na watanzania wengineo. Pambaneni wakinga umaskini unadhalilisha sana
Its you who in poverty you console yourself and envy those who have success. You need to learn to struggle dogo. Maisha si kulalamika na kutafuta justification of your poverty. Try hard dogo.Hiii keep comforting yourself, bado we mtoto kwenye hii dunia.
Dogo, mbona kama umetumia nguvu kubwa sana kubisha..unatumia nguvu kubwa sana kuwajibu watu,, inaleta ukakasi, mtu anaejua jambo la kweli na anafaham kua ni la kweli labda kwa namna moja ama nyingine hua hatumii nguvu kubwa sana kulidhibitisha.ENDELEA KUJIPA MOYO. UTAKALIA MAJUNGU NA MANUNG'UNIKO. WENZAKO WANAFANYA MAISHA WEWE UKO GOI GOI UNADAI WANAWEKA MISUKULE. UNALALAMIKA TU JF DOGO. MWISHOWE HUWA MNAKUJA KUOLEWA
DOGO ENDELEA KUJIFARIJI KATIKA UMASKINI WAKO. WENZIO TUMESHATOBOA.Dogo, mbona kama umetumia nguvu kubwa sana kubisha..unatumia nguvu kubwa sana kuwajibu watu,, inaleta ukakasi, mtu anaejua jambo la kweli na anafaham kua ni la kweli labda kwa namna moja ama nyingine hua hatumii nguvu kubwa sana kulidhibitisha.
Kweli kabisa uaminifu kwenye pesa kwetu sisi watz ni hakuna, nilikutana na mkenya mmoja akaniambia kwenye pesa hats wazazi wako wanakupiga, niliwahi kufungua mradi wa kilimo cha umwagiliaji nikamuomba Dada yangu na shemeji yangu wasimamie baada ya miezi sits nikaenda kuwatembelea nilipofika tu sikutaka hata kukaa Kitano nikaomba wanipeleke shambani kwanza kisha mambo mengine yataendelea, iliwachukua nusu SAA kufikia uamuzi wa kunipeleka site nilipofika huko hakukua na shamba wala chochote bad enough walipokua wananitumia video clips za progress ya kazi walichukua kutoka mashamba mazuri kabisa ya watu wengine yaliyostawi vizuri na kutunzwa vizuri hiyo ilinipa moyo nilituma pesa kila ilipohitajika na ziada niliwapa, hakika nilisamehe tu ili kuilinda ndoa ya Dada wajomba zangu wasijewakapata tabu, nilighafilika mno coz nilisave kwa kujinyima mno na niliplan mradi ungetik nilipanga kuacha kazi kwa kua mazingira ya kazi hayakua mazuri, niligeuka Sikh hiyohiyo nikarudi nilipotoka.Kweli kabisa mkuu
Mtu anaamini uchawi ila hana lolote
Au kutwa kuwasema watu hata kama mama wa mtu alikufa kwa mda wake watasema ni kafara
Huyu huyu anaenisema humu nikimpa hela anitafutie kitu atalala nazo 😄
Its you who in poverty you console yourself and envy those who have success. You need to learn to struggle dogo. Maisha si kulalamika na kutafuta justification of your poverty. Try hard dogo.
DOGO MNADANGANYANA SANANimeshakueleza we bado mdogo hiidunia tumeona mengi siwezi shangaa yamkinga.
Mnaganganyana tena! Yo siwezi shangaa ya mkinga mr mi nimeona mpaka mwewe akibeba ng'ombe.DOGO MNADANGANYANA SANA
Nakubaliana na wewe mkuu, huo ndio uhalisia wao. Sisi waafrika; Siri ya mali anaijua baba pekee au mama. Wenzetu wahindi na waarabu; Siri ya mali hujukikana kwa wanafamilia wote, ndio maana hawafirisiki.Huniambii kitu kuhusu Wakinga. Mimi ni mzaliwa wa Mbeya. Hawa tunao sana wala hatuwaonei wivu kwa vile wanaishi maisha ya kitumwa na kijima sana.
Ina maana gani umiliki hotel kama Paradise ya Soweto Mbeya na Duka kubwa la jumla kuliko yote halafu unaishi Ilemi kwenye nyumba ya matofali yasiyo chomwa ? Unatafuta mali kwa ajili ya nani?
Matajiri wote Wakinga wa Mbeya waliokuwa na mali miaka ya 1980s baada ya kufa hakuna hata ambaye mali imehamia kwa wanaye. Cheki Nkwenzulu Motel, Memba, Tweve na Fresh ya Shamba.
Lakini Wahindi waliokuja Mbeya miaka ya 1930 kama Kanji Lalji, Dandhoo, Hussein Lalji, Shariff Alwi Ahmed bado vizazi vyao vinaendesha biashara.
Nafuu niishi maisha ya ukweli bila mali kuliko maisha ya Wakinga na masharti. Ni utumwa tu huo
DOGO FANYA KAZI ACHA NDOTO NA KUKUMBATIA UMASKINIT
Mnaganganyana tena! Yo siwezi shangaa ya mkinga mr mi nimeona mpaka mwewe akibeba ng'ombe.
Mimi siyo dogo. Naweza kuwa baba yako kwa kukuzaa. Hivi kule nyuma nilipokuambia nawafahamu Wakinga wa Mbeya wa miaka ya 1980s hukunielewa? Akina Nkwenzulu, Tweve na Chawe. Ningekuwa na huo umri unaoniita dogo nisingeandika haya ninayoandika. Matajiri Wakinga ni washirikina tu, periodENDELEA KUJIPA MOYO. UTAKALIA MAJUNGU NA MANUNG'UNIKO. WENZAKO WANAFANYA MAISHA WEWE UKO GOI GOI UNADAI WANAWEKA MISUKULE. UNALALAMIKA TU JF DOGO. MWISHOWE HUWA MNAKUJA KUOLEWA
Naomba unitag ukiiwekaMuulizie mwakipaande ingawa alifaruki ila alimrizisha mwanae ambae alikuwa akiishi mwanza wakati wa miaka ya 2000, sjui kwa sasa yuko wapi.
Huyo ndo alikuwa mtaalam wa makafara ya kujipatia pesa.
Nikiwa na muda nitawaletea hadithi ya ukweli ya mkinga aliyetaka kumtoa mkewe kafara, wakati huo huyo mkinga alikuja Dar kutoa gari mpya bandarini akamwambia mkewe amfuate dar ili warudi pamoja................kilichofuata anajua mkewe(ambae aliondoka kwenye ndoa baada ya tukio hilo) na dereva alokuwa amlete mke dar............
Dogo usikumbatie umaskini. Pambana utoke kwenye umaskini na kukariri majina ya watu ukidhani watakusaidia kila siku. Fanya kazi dogo umaskini si jambo la kujivunia na kujifariji.Mimi siyo dogo. Naweza kuwa baba yako kwa kukuzaa. Hivi kule nyuma nilipokuambia nawafahamu Wakinga wa Mbeya wa miaka ya 1980s hukunielewa? Akina Nkwenzulu, Tweve na Chawe. Ningekuwa na huo umri unaoniita dogo nisingeandika haya ninayoandika. Matajiri Wakinga ni washirikina tu, period
Mkinga X ushirikina☝.DOGO FANYA KAZI ACHA NDOTO NA KUKUMBATIA UMASKINI