Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

Hahaha maharage ndo mboga kuu ya wakinga,vp umekua sasa tuambie ulaji wako upoje sasa unajitegemea??
 
Hafahamu kama uko mbele toka miaka ya 70s, of course biashara za kiafrika na ushirikina hazipishani lakini ushirikina sio kigezo cha mafanikio na sio wote waliofanikiwa basi wamepitia huko, wakinga wapo wanaopitia hizo ndagu ila siri nyingine ya wakinga wanamiliki maekari ya miti mikaratusi na mipaina so unaweza kuona mtu anabiashara ya kawaida kumbe ana hekari 100 za miti baada ya miaka 8-10 akipasua mbao tayari anapata mtaji was kuanzisha biashara kubwa kariakoo.
Kweli kabisa mkuu
Mtu anaamini uchawi ila hana lolote
Au kutwa kuwasema watu hata kama mama wa mtu alikufa kwa mda wake watasema ni kafara

Huyu huyu anaenisema humu nikimpa hela anitafutie kitu atalala nazo 😄
 
Hii nayo ni sababu ya msingi sana ambayo haisemwi. Uchawi usukumani karibu kila familia inamganga na kila kitu hata kuandaa shamba lazima waloge. Misukule ya kutosha lakini wengi wanaungaunga tu.
Wasukuma madoni TZ yote, zunguka mikoani ujionee si kukariri hapo usukumani tu, Mtu mmoja tu ana eka 500 za mashamba, ng'ombe zaidi ya 6000, nyumba za kupanga 60, bado ni maskini?
 
Kwanza kuwazungumzia wakinga angalau uwe umeishi hii mikoa Njombe, Mbeya kama sivyo kwa asilimia kubwa utakuwa unajidanganya kuhusu wakinga.

Nakumbuka sana maisha ya Mbeya na Njombe ila wakinga😎
 
Katika kundi la wasukuma 10 basi 9 wana chale maeneo mbalimbali ya miili yao, ila wasukuma ndo kabila pekee Tanzania unaoweza kuishi nao na mkapiga Moshe vizuri kabisa hawana wivu wala roho mbaya wala ubaguzi wa dini,kabila au ukanda tofauti na makabila kama wachaga,wahaya,wambulu
Kuna rais aliyeasisi ukabila kama marehemu magufuli=msukuma?
 
Hata nikisema haitakusaidia chochote
Nimepambana sana kwa miaka zaidi ya 40
Leo wanangu hawana dhiki na mimi nakula maisha huku bado napambana
Kuna bank holidays 2 mwezi may nategemea moja niende Berlin na nyingine ijayo Amsterdam
Kuna lingine boss?
Sio kujisifu bali maisha nayamudu
Safari njema Berlin na Amsterdam ya Buza Makangarawe.
 
Kwani anayetambia kwenfa Amsterdam na Berlin ni nani? Si ni wewe!! Mimi nimekupongeza tu kwa kusafiri kwa ndoto
Kwa wewe ni ndoto ila mimi naishi kiuhalisia

Usiumie kwa kukosa bali umasikini ni Laana, na inakufanya uwe na roho mbaya
Relax mkuu usione kila anae comment humu ni jirani yako
Tembelea forums za Dunia utajifunza uhalisia hata kama ni masikini usiumie kwa waliokuzidi bali pambana na wewe ufike mahali
 
Ungekuwa unaishi huko usingekuwa limbukeni wa kujisifia kwenye mitandao. Pimbi uko Kigogo hapo unapigwa na mafuriko tu
 
Kwanza kuwazungumzia wakinga angalau uwe umeishi hii mikoa Njombe, Mbeya kama sivyo kwa asilimia kubwa utakuwa unajidanganya kuhusu wakinga.

Nakumbuka sana maisha ya Mbeya na Njombe ila wakinga😎
Walioishi iringa nao hawawafaham wakinga?
 
Back
Top Bottom