Jamesdominic
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 549
- 732
Ni
Na maisha ya wakinga nikufungua mapema apo sokoni kwani ukichelewa jua huto pata wateja lazima wakuwekee madawa tu! Kwahiyo kabla soko alijafunguliwa wanawahi magetini ili kuwahi kufika eneo analo uzia kablaawaja weka vitu vyao.Wakinga wengi na ushirikina ni kitu kimoja☝.
Kupe mfano mmoja tu soko kuu sumbawanga limetawaliwa na wakinga kwa asilimia 90, na 10% ni watu wanao uza nyanya michicha mbogambona, huwezi kukuta makabila mengine kwenye hilosoko kwasababu moja tu kama wewe si mshirikina utopata wateja siku nzima.Huwa najiuliza.
Kama ni uchawi makabila yote ni wachawi.
Na najiuliza kwa nini wakinga leo na sio zamani. Kilochotokea kwa wakinga kimeshindikana vipi kutokea kwa makabila yote.
Huwa najiuliza wanatumia mbinu zipi ambazo wengine hawana?
Kwa ufupi jamaa nimetokea kuwapenda na kuwakubali sana. Wiki hii nilikuwa na mshkaji wangu mkinga ananitembeza madukani kwake kkoo. Alianza kama mbeba mizigo naa sasa ni milionea chini ya bosi wake mkinga mkuu.
Tatizo yeye haongei sana, anatenda sana kiasi kwamba huwezi kupata details zote.