Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Hii ishu nilisikia kariakoo kwa jamaa anasema hata uweje huwezi kuwadhulumu hata kuwaibia , mzigo watatuma popote ila usipotuma pesa umeisha.mtazunguruka saana, ila ukitaka kuwajua wakinga na wabena wakoje, waibie au wadhurumu. hutakuwa mbishi tena.
Sina uhakika ila kusema ukweli hili kabila nimelijua kama mwaka 2014 hivi.. Wengi niliokuwa nawajua wahehe kumbe wakinga.