Labda kama umefika mjini sikuhizi,
hizo story kwa sasa zimepungua sana, miaka ya 2000 hadi 2010 zilikuwa zimeshamiri kila kona.
Kwa sasa kelele zimepungua watu hatuambiwi tunaenda wenyewe maduka yao tunaona wanavyopambana,, wana nidham kali ya pesa duka kubwa ila chakula kinapikwa nyumbani kupunguza gharama, wanauza vitu kwa bei rafiki (hawana tamaa ya faida kubwa sana), mteja hata uende duka kubwa unaheshimiwa ukinunua sindano ya mia, uaminifu upo, n.k.
hata kama kuna ndumba basi jitihada ni kubwa zaidi kuzidi msaada wa ndumba.
kama ni ndumba kwanini wafanyabiashara wengine wanaotokea mikoa maarufu ya ndumba kama sumbawanga, tanga, katavi, n.k. hawafikii huko ??