Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wanaume ni wajibu wetu kupata pesa na nyie wanawake tuje kuwa enjoy tukiwa nazo. Ushirika upo kwenye vyama vya ushirika sisi wafanya biashara dada. Wewe hata Elimu tu huna.Namtaendelea kupambana mpaka matako yatoke moshi yaani chuma ulete,
Unajifanya ushirika ni kitu kigeni kwako M__fck u.
Acha uhuni wewe,Yule mtoto wake wa mwanza ni mlokole na sio mgangaMuulizie mwakipaande ingawa alifaruki ila alimrizisha mwanae ambae alikuwa akiishi mwanza wakati wa miaka ya 2000, sjui kwa sasa yuko wapi.
Huyo ndo alikuwa mtaalam wa makafara ya kujipatia pesa.
Nikiwa na muda nitawaletea hadithi ya ukweli ya mkinga aliyetaka kumtoa mkewe kafara, wakati huo huyo mkinga alikuja Dar kutoa gari mpya bandarini akamwambia mkewe amfuate dar ili warudi pamoja................kilichofuata anajua mkewe(ambae aliondoka kwenye ndoa baada ya tukio hilo) na dereva alokuwa amlete mke dar............
Big up.Wakinga kama wakinga, ni kweli wanazisaka hela ila mbona ni kama ukweli umeuficha, hela wanazisaka kwa waganga zaidi, ni wachache wanaosaka hela kwa akili na uwezo wao ambao Mungu amewapa, labda useme saizi wakinga wameamka kusomesha watoto wao hapo ndo walipoamka, maana mtoto alikuwa akimaliza darasa la saba dukani
NakubaliWakinga wana Discipline kubwa sana ya pesa na utafutaji
Ni wapenda janja janja sana, na ni wapenda shortcuts na ni risk takers wa kutumia akili mingi.Na wachagga wamekua matapeli pia😂😂 akina mwacha malisa etc. Wapo. Mchagga na kanisa tena? Me mwenyewe napanga kufungua. Hawa ni waganga wa kienyeji waliochangamka
Wakinga zaidi ya masharti hayo la kwanza lazima umuue au umfanye msukule ndugu wa karibu. Yaani Mama, mtoto wako au mdogo wako.
Mali za Wakinga ziangalie hivyo hivyo ila ni mateso matupu, zote ni mauzauza tu. Unakuta mtu ana hoteli ya kisasa lakini analala kwenye chumba cha stoo na mabox
Mkuu nina ushahidi. Hawa watu nawafahamu tangu nikiwa mvulana mkoani Mbeya miaka ya 1970s-1980s.Kama huna ushahidi, huna haki ya kuongea ??!