Wakisajili ni sawa, ikisajili Yanga eti inatakatisha fedha kupitia mpira

Kwani utopolo inasajil ili iweje???
 
Sasa mbona kocha hamjampata bado nyie UTO? Hao wachezaji anapendekeza nan sasa?
 
Hahaaa mpira kama siasa sasa, simba wameumia kusikia usajili huu wa yanga
 
Hahaaa mpira kama siasa sasa, simba wameumia kusikia usajili huu wa yanga
Huo usajili wa utopolo 🐸 🐸 hauwezi kuiumiza klabu kubwa kama Simba.
 
Uzuri wa Mikia hawana kumbukumbu. Rage alikuwa akiwasajili sebuleni kwake.

Halafu mjue popote mtu anamwaga wino. Formal introduction inafuata wakati muafaka.
 
Tuelekeze boss jezi ya vita ya mini sasa
Kwa nini hauhoji kwanini amevaa jezi ya Yanga ?

Umejuaje huo ni jezi ya As Vita !? Mimi hapo nimeona jezi yenye namba 22 jina Mukoko (labda lengo ni kutangaza aliyesajiliwa anaitwa fulani na anavaa jezi namba fulani)
 
Kweli ndio maana mkaitwa nyani, jamaa hakukosea kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…