Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Hawa watu wakishakaa huko Ikulu wanaambizana hakuna mtu ana hati miliki ya hii nchi, ndiyo wanaona inawapa uhalali wa kuingia katika mikataba yoyote wanayotaka. Kwa maana kwamba hakuna mtu yeyote anayeweza kuwaita wezi, kwa vile hawajaiba kitu cha mtu yoyote.
Lakini ukitazama maandiko ya falsafa ya siasa, kwa mfano Hegel au Fichte, utaona kwamba hawa wanafalsafa wanasema kwamba nchi inayo Roho, kama vile ambavyo binadamu ana Roho, na kwa hiyo, nchi haiwezi kuchezewa na viongozi wake.
Ungetegemea kuzungumza kuhusu Roho ni kazi ya watu wa dini,au waganga wa kienyeji. Lakini, no, political philosophers wanakuambia nchi ina Roho, na kwamba wananchi wa nchi yoyote lazima wafanye kama Roho ya nchi yao inavyowatuma.
Sasa,inatokea wakati mwingine,nchi inasema,madeni haya ni makubwa sana, sijui tutaweza vipi kuyalipa. Halafu wanaambia, ah, si kitu kama hamwezi kulipa haya madeni, basi, tufanye hivi, sisi tutaimiliki bandari yenu kwa miaka kadhaa.
Ndiyo hivyo IMF walivyomwambia Ferdinand Marcos wa Phillipines. Kwamba kama hamwezi kulipa, basi tutaendelea kuwapa hela, lakini tutamiliki natural resources of your country in perpetuity(milele). Katika hii mikataba yao, always they have this phrase 'in perpetuity'. Kwa hiyo wakamuuliza Marcos if he has any objections to that. Ndio Marcos akawaambia hapendezewi na hiyo phrase 'in perpetuity'. Kwa hiyo ikawa ndio ugomvi mkubwa kati ya Marcos na IMF. The rest is history.
Kwa hiyo na sisi lazima tujiulize tunataka kuingia katika mkataba gani.