Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

Kuhusu ya NSSF tuyaweke kando maana kuna kumbukumbu aliyekuwa waziri mwenye dhamana ya TAKUKURU wakati huo Sophia Simba mbele ya mabosi wake ndani ya mkutano wa chama chake alitamka wazi ",CCM hakuna msafi" hakuna aliyeinua shingo ndani ya mkutano ule si Mkapa wala JK!

So kama hakuna msafi ukiona ndani ya CCM mnunuzi wa kivuko kibovu ananyamaziwa na mdokozi wa NSSF anaandamwa ujue huyo hahitajiki kwenye circle ya wezi wenzie.
Kamwenee[emoji137]
 
Hapa ndipo namkumbuka prof Lumumba anasema " Afrika, wenye akili hawana mamlaka na wenye mamlaka hawana akili".

Kama tungekuwa tunachagua rais kwa kigezo cha akili, basi Makamba alikuwa ndiyo bora zaidi miongoni mwa vijana wote waliotia nia ya kuutaka urais 2015 ndani ya ccm.

Sasa wanamuandama ili kumuondoa kwenye reli mazima.
 
Uongo?

Makonda anaandaliwa kuwa Rais hapo 2025.
Dhima kuu ni ili akayalinde Mabaya ya Mhusika.

Paskali wa jf aliweka uzi mmoja hapa kuwa rais ni Magufuli na kweli akawa Magufuli.

Siku akishusha uzi mwingine msije mkampuuza

Mimi nadhani kwa 2025 anu 2035 najua Rais wetu Ni Jokate.
Alishaweka Uzi, akasema ana udhubutu, apunguze(Paul)
 
Uongo?

Makonda anaandaliwa kuwa Rais hapo 2025.
Dhima kuu ni ili akayalinde Mabaya ya Mhusika.

Paskali wa jf aliweka uzi mmoja hapa kuwa rais ni Magufuli na kweli akawa Magufuli.

Siku akishusha uzi mwingine msije mkampuuza

Mimi nadhani kwa 2025 anu 2035 najua Rais wetu Ni Jokate.
Basi hata makonda hamumjui.. makonda ni mtu ambaye akipata nafasi anakuchenjia saa yoyote. Kifupi makonda hanaga rafiki wa kudumu. Yuko wapi rizwan ambaye alikuwa anabebwa juu juu na makonda? Wapi kikwete kwa makonda? Muulize nape ambaye makonda alikuwa pacha wake, ni nape ndio alikuwa akimwambia makonda apige dili akiwa dc baada ya kuona makonda mzito. Leo wako wapi.? Wapi Ruge mutahaba na makonda? Iliishiaje? Ni Reginald mengi alimwandalia makonda chakula alipooa, lakini waliwahi kutofautiana kabla ya kupatana tena.
 
Huyo RC mnampa kichwa tu, yaani kama kuna chizi anaota ndoto huyo kiazi atakuja hata kugombea tu basi sio apelekwe hospitali tu bali anastahili kunyongwa kwa kutaka kulihaini Taifa hili.
Subiri na omba uhai utaona.
 
Uongo?

Makonda anaandaliwa kuwa Rais hapo 2025.
Dhima kuu ni ili akayalinde Mabaya ya Mhusika.

Paskali wa jf aliweka uzi mmoja hapa kuwa rais ni Magufuli na kweli akawa Magufuli.

Siku akishusha uzi mwingine msije mkampuuza

Mimi nadhani kwa 2025 anu 2035 najua Rais wetu Ni Jokate.
Ameshauweka siku nyingi sana,
 
Habari wadau.

Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.

January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio hapo Mbeleni ukizingati umri wake. Nadhani mwafahamu kinachoendelea.

Unaambiwa lazima aangushwe na baada ya hapo mishale na gemu zito litahamia kwa Selemani Jafo ambaye ni waziri Tamisemi.

Source: Naiweka siri kwa sasa.
Pia leo wameanza kumdili Field Marshal wa Singida licha kwasasa hayupo tena kwenye Cabinet
 
Sisi yetu macho..wakiweza hata wapigane ila sisi tunataka maisha bora ..ajira na mazingira mazuri ya kufanya kazi ...biashara...kuwekeza na kujiajiri
 
Habari wadau.

Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.

January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio hapo Mbeleni ukizingati umri wake. Nadhani mwafahamu kinachoendelea.

Unaambiwa lazima aangushwe na baada ya hapo mishale na gemu zito litahamia kwa Selemani Jafo ambaye ni waziri Tamisemi.

Source: Naiweka siri kwa sasa.
Kuna kiporo cha Lissu
 
Back
Top Bottom