macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
January hajawahi na wala hatawahi kuwa tishio kwenye mbiyo za urais! Hana sifa! Kikwete ndiye mtu pekee asiyekuwa na sifa aliyebahatika kupenya mpaka akawa rais kwa kutumia mtandao na fedha. Na hii ni kwa sababu ya Mkapa kutokuwa makini. System imeshashtuka, tukio kama hilo kujitokeza tena ni hakuna.Habari wadau.
Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.
January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio hapo Mbeleni ukizingati umri wake. Nadhani mwafahamu kinachoendelea.
Unaambiwa lazima aangushwe na baada ya hapo mishale na gemu zito litahamia kwa Selemani Jafo ambaye ni waziri Tamisemi.
Source: Naiweka siri kwa sasa.