Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

Kamwenee[emoji137]
 
Hapa ndipo namkumbuka prof Lumumba anasema " Afrika, wenye akili hawana mamlaka na wenye mamlaka hawana akili".

Kama tungekuwa tunachagua rais kwa kigezo cha akili, basi Makamba alikuwa ndiyo bora zaidi miongoni mwa vijana wote waliotia nia ya kuutaka urais 2015 ndani ya ccm.

Sasa wanamuandama ili kumuondoa kwenye reli mazima.
 
Alishaweka Uzi, akasema ana udhubutu, apunguze(Paul)
 
Basi hata makonda hamumjui.. makonda ni mtu ambaye akipata nafasi anakuchenjia saa yoyote. Kifupi makonda hanaga rafiki wa kudumu. Yuko wapi rizwan ambaye alikuwa anabebwa juu juu na makonda? Wapi kikwete kwa makonda? Muulize nape ambaye makonda alikuwa pacha wake, ni nape ndio alikuwa akimwambia makonda apige dili akiwa dc baada ya kuona makonda mzito. Leo wako wapi.? Wapi Ruge mutahaba na makonda? Iliishiaje? Ni Reginald mengi alimwandalia makonda chakula alipooa, lakini waliwahi kutofautiana kabla ya kupatana tena.
 
Huyo RC mnampa kichwa tu, yaani kama kuna chizi anaota ndoto huyo kiazi atakuja hata kugombea tu basi sio apelekwe hospitali tu bali anastahili kunyongwa kwa kutaka kulihaini Taifa hili.
Subiri na omba uhai utaona.
 
Ameshauweka siku nyingi sana,
 
Pia leo wameanza kumdili Field Marshal wa Singida licha kwasasa hayupo tena kwenye Cabinet
 
Sisi yetu macho..wakiweza hata wapigane ila sisi tunataka maisha bora ..ajira na mazingira mazuri ya kufanya kazi ...biashara...kuwekeza na kujiajiri
 
Kuna kiporo cha Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…