Wakishua hawajui. Ila wale wakongwe wenzangu mlikuwa mnayaitaje haya mazaga "kichuga kiboboroo"

Kipind hicho ukitafuna unasikia khaaaaaahh kama umetafuna jiwe vile kumbe ni muhindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakishua kile kitu wanabaguliwa
Hawezi Fanya


Unaweza ukawa wa kishua ukawa changanyikeni muuni flani hivi
Naamini wapo wa kishua waliokula uketo


Nb: mi sio wa kishua
Wakishua wanakula Popcorn huu uzigo hawauwezi wataishia hospital Kung,oa meno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahahahahhaha wahuni tulikuwa tunakula tunahakikisha sauti haitoka ili masela wasisanuke ikawa soo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yakilala yakawa magumu unayaloeka

Hayaa makitu Ni matamu Sana ukipata mtaalamu wakuyapika.
 
Kipindi cha kufunga shule( ya msingi)nilikuwa nakaanga sado nzima natafuna asubuhi hadi jioni.
Shida iko kwenye kutoa kubwa sasa
 
hivo vitu ni vitamu na nilivijua huko huko shule kuna ile ya kukaanga unga wa sembe ukipoa unachanganya na sukari tulikua tunaita magunia loh vitam
Mi nilikuwa naloweka na magadi wee acha tuu[emoji23][emoji23]
 
Boboro...
Nimepewa sana adhabu shule yangu ya msingi kwa kuiba mahindi stoo na kwenda vichakani kutengeneza boboro..
 
Boboro...
Nimepewa sana adhabu shule yangu ya msingi kwa kuiba mahindi stoo na kwenda vichakani kutengeneza boboro..
Hahahahahahahahahhaha ulikuwa hatari kumbe mpaka unaiba mahind yashule
 
Kipindi cha kufunga shule( ya msingi)nilikuwa nakaanga sado nzima natafuna asubuhi hadi jioni.
Shida iko kwenye kutoa kubwa sasa
Aahhhh sado kulaleki unabeba kwenye nn huo mzigo mjombaa .Kiu yake sio poa utakunywa maji kinyama
 
Mi nilikuwa naloweka na magadi wee acha tuu[emoji23][emoji23]
hayo mahindi uliloweka na magadi??? ulilowekwa tu kwenye maji ya kawaida unalala humo had asubuh unakaangwa kwenye mafuta yan ni vitam vinakua vinalini kuliko vile ambavyo unakaanga hivi hivi bila kuloweka hua n vigumu
 
mara nyingi hichi ni chakula cha wezi wa mazao kwenye mashamba ya tu
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…