1. Ama kweli mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya iddi.
2. Amekuwa akiambiwa Israel mwezi wa 6 sasa, kiungwana kuachana vita, kuacha shari atafute mapatano ya kudumu.
3. Red sea kuna wa houthi, kaskazini kuna hezbollah anaparurana nao akiambiwa wazi: "ni mwendo mdundo hadi tu vita Gaza vikome."
4. Busara yote imemtoka, amepagawa hata semi za kawaida tu kuwa "vita havina macho hazina maana yoyote kwake.
5. Sasa kama wale mateka wake watatu aliowararua kwa risasi kaenda kuwauwa wafanyakazi wa kimataifa.
6. Hapo #5 wakiwa kwenye eneo aliloliita mwenyewe ni salama, akijua ni wao, kuwa wapo hapo muda huo, wakiwa na magari gani, magari mangapi yenye alama za wazi na wakiwa hapo kwa makubaliano na miadi naye.
7. Anasema ilikuwa bahati mbaya. Bahati mbaya? Vipi na wale mateka wake watatu? Vipi wanawake na watoto zaidi ya 20,000? Vipi wagonjwa na watumishi aliowaulia wakitibu mahospitalini? Vipi majengo ya shule hadi chekechea za watoto wa miaka 2? Vipi vipi.. .., vipi ni mwendo wa vipi zisizokuwa na idadi?
8. Kwamba kwa vile humo kuna watu ndiyo sasa wale maswahiba wake kindaki ndaki akili inawarudia?
9. Hapo #8, SI ni yale ya bus kuwa na abiria 29 na mmakonde 1?
10. Mdogo mdogo tutafika tu, wako wapi waliowahi kujifanya miungu watu?
11. Wako wapi kina Hitler, Mussolini au hata Lenin?