Wakiwamo maswahiba wailaani Israel kwa ukichwa ngumu usio na tija

Wakiwamo maswahiba wailaani Israel kwa ukichwa ngumu usio na tija

1. Nilitaka kupuuza lakini nikaona sitakuwa nimekutendea haki nisiache kukusaidia vinginevyo hutajaa utoke ujingani.

2. Uandishi? Kumbe hujui kwanini unafanikiwa kusoma Tena hadi mwisho? Kumbe ulidhani ni utashi wako?

3. Nikuitishe kutembelea mahakamani, kwa mawakili au popote ambako sheria zina thamani yake kufahamishwa uandishi huu waitwa je.

4. Ungeyajulia wapi haya yarabi mburula wewe usiyekwenda shule kama ningeamua kukutia Munda tu?
😂😂😂

standard three advocate teh teh teh
 
labda nianzie apo point no 2. Palestine hawakuua na kuteka kila Mtu bro upo seriously? 😂

na wale watoto wadogo walio fanya deal ya kubadilishana wakaachiwa waliwatoa wapi

1. Mateka wakiwa na vijibwa vyao walikuwa na mtizamo tofauti na Natenyahu. Sembuse wewe?

Waliokuwa mateka Gaza wamuumbua Netanyahu

2. Kama HAMAS anagekuwa mwuaji 10% ya mwisrael mateka waliokuwa hai wangeokotwa wapi?

Barua za shukurani toka kwa waliokuwa mateka kwenda HAMAS zimeonekana. Afya ya miili ya mateka miezi 2 wakiwa kifungoni wengine na vijibwa vyao zimeonekana. Shuhuda za mateka kuwahusu HAMAS zimesikika.

3. Hapo #2, ni authentic extract.

4. Ulivyokuwa empty nikutaarifu za akina Bush Dokta ni acknowledgement.

5. Mburula kama ulivyo #4, wadhani ni kejeli.

Bure kabisa!
 
😂😂😂

standard three advocate teh teh teh

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
1. Mateka wakiwa na vijibwa vyao walikuwa na mtizamo tofauti na Natenyahu. Sembuse wewe?

Waliokuwa mateka Gaza wamuumbua Netanyahu

2. Kama HAMAS anagekuwa mwuaji 10% ya mwisrael mateka waliokuwa hai wangeokotwa wapi?

Barua za shukurani toka kwa waliokuwa mateka kwenda HAMAS zimeonekana. Afya ya miili ya mateka miezi 2 wakiwa kifungoni wengine na vijibwa vyao zimeonekana. Shuhuda za mateka kuwahusu HAMAS zimesikika.

3. Hapo #2, ni authentic extract.

4. Ilivyokuwa empty nikutaarifu za akina Bush Dokta ni acknowledgement.

5. Mburula kama ulivyo #4, wadhani ni kejeli.

Bure kabisa!
tuoneshe ako ka barua na sisi tuonepo master 😂
 
Akisimamisha vita maana yake anampa adui yake kujipanga kwa mashambulizi mengine dhidi yake..inaweza kuchukua hata miaka saba ila atamshambulia tu kwa sababu adui yake ameumbiwa kisasi katika imani..
 
1. Ama kweli mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya iddi.

View attachment 2952408

2. Amekuwa akiambiwa Israel mwezi wa 6 sasa, kiungwana kuachana vita, kuacha shari atafute mapatano ya kudumu.

3. Red sea kuna wa houthi, kaskazini kuna hezbollah anaparurana nao akiambiwa wazi: "ni mwendo mdundo hadi tu vita Gaza vikome."

4. Busara yote imemtoka, amepagawa hata semi za kawaida tu kuwa "vita havina macho hazina maana yoyote kwake.

5. Sasa kama wale mateka wake watatu aliowararua kwa risasi kaenda kuwauwa wafanyakazi wa kimataifa.

6. Hapo #5 wakiwa kwenye eneo aliloliita mwenyewe ni salama, akijua ni wao, kuwa wapo hapo muda huo, wakiwa na magari gani, magari mangapi yenye alama za wazi na wakiwa hapo kwa makubaliano na miadi naye.

7. Anasema ilikuwa bahati mbaya. Bahati mbaya? Vipi na wale mateka wake watatu? Vipi wanawake na watoto zaidi ya 20,000? Vipi wagonjwa na watumishi aliowaulia wakitibu mahospitalini? Vipi majengo ya shule hadi chekechea za watoto wa miaka 2? Vipi vipi.. .., vipi ni mwendo wa vipi zisizokuwa na idadi?

8. Kwamba kwa vile humo kuna watu ndiyo sasa wale maswahiba wake kindaki ndaki akili inawarudia?

9. Hapo #8, SI ni yale ya bus kuwa na abiria 29 na mmakonde 1?

10. Mdogo mdogo tutafika tu, wako wapi waliowahi kujifanya miungu watu?

11. Wako wapi kina Hitler, Mussolini au hata Lenin?
Mliambiwa (na Israel)muwaepuka,mkae nao mbali,msijinasibishe na magaidi mtachanganywa kwenye kipigo hamkuelewa?Hadi bomu au risasi ya Muisrael kukufikia ina maana haukusikia na kujiunga au kukaa karibu na magaidi.Mtapigwa tu.
 
"zipo nyingi mle". wapi?

kwaiyo umeshindwa kuziweka apa tuzione Advocate.

1. Elimu ni ufunguo wa maisha hata kama ulishia darasa la 7 rudini shule kusoma.

2. Kwa vile umeshindwa kuziona kabisa na kama nikikuacha utafia ujingani, ninakusogezea moja hapa:

3. Elimu ni uhuru.

Angalizo: haya si maneno yàngu:

"I will remember your kind behaviour shown in spite of the difficult situation you faced,"
 
1. Elimu ni ufunguo wa maisha hata kama ulishia darasa la 7 rudini shule kusoma.

2. Kwa vile umeshindwa kuziona kabisa na kama nikikuacha utafia ujingani, ninakusogezea moja hapa:

3. Elimu ni uhuru.
Advocate hakuna hizo barua kwenye link au mahakamani ndio huu ushaidi waga mnauitaji?

hiki ndicho kilicho funguka only headline about UN workers killed in battlefield

barua zipo wapi unitoe tongotongo mm standard seven B
Screenshot_20240403-101203.png
 
Mliambiwa (na Israel)muwaepuka,mkae nao mbali,msijinasibishe na magaidi mtachanganywa kwenye kipigo hamkuelewa?Hadi bomu au risasi ya Muisrael kukufikia ina maana haukusikia na kujiunga au kukaa karibu na magaidi.Mtapigwa tu.

Kwa hiyo hapa unawaambia wamarekani, waingereza, wacanada, waustralia nk waliofiwa au unawaambia wafu?
 
Akisimamisha vita maana yake anampa adui yake kujipanga kwa mashambulizi mengine dhidi yake..inaweza kuchukua hata miaka saba ila atamshambulia tu kwa sababu adui yake ameumbiwa kisasi katika imani..

Sasa kwani vita iliwahi kusimama lini tokea miaka ya 1947 huko?
 
Nafikiri mtulie, kazi yetu iwe kuona mambo yatafikia wapi, hatuna hizo akili za kushauri Israel ifanye nini na Isifanye nini.
 
Kwa hiyo hapa unawaambia wamarekani, waingereza, wacanada, waustralia nk waliofiwa au unawaambia wafu?
Wote.Maana hapo waliotwangwa ni raia wa... na siyo serikali zao.Viherehere wa kujidai kutetea,kusaidia,kuokoa na blah blahs nyingine wataumia na kufa sana kwa ujinga wa kucheza mbele ya vifaru,mabomu na bunduki za watu wenye akili waruwaru kama Waisraeli waliochafukwa roho.They've got to stop poking their noses unto unconcerned business!
 
1. Unajua kuwa HAMAS na Palestina wanadai nchi yao tokea 1947?

View attachment 2952450

2. Unajua kuwa dunia inatambua Palestina wana haki ya taifa lao pale?

3. Unajua Israel hataki kusikia habari za taifa la Palestina pale?

4. Unajua mataifa yakiwamo maswahiba kindaki ndaki wanajua suluhu ya kudumu ya pale ni Palestina kuwa na taifa lao?

5. Sasa ni kuwa Palestina wako kwenye vita vya ukombozi wa taifa lao tokea 1947 kama sisi na Maji maji au Kenya na Mau Mau.

6. HAMAS na hivyo Palestina wako vitani kudai nchi yao. Hawakuwashika mateka wakiwa Tanzania Bali kwenye eneo la uvamizi. Wameshika mateka katika maeneo ya vita.

7. Katika madai ya vita ni nchi yao, huoni kuwa wanaomtaka mwisraeli kusimamisha vita kutumia busara wana hoja?

8. Huoni akisimamisha vita, red sea kutatulia na hezbollah watamwacha busara itamalaki kutafutwe suluhu ya kudumu?
Nchi yao kutoka wapi chief tueleweshe
 
Nchi yao kutoka wapi chief tueleweshe
Hapo ndiyo baadhi ya wanaJF huwa wananipatia "cheko" sana.Hao Palestinians wanaoidai nchi yao ni ipi?Na Waisraeli nchi yao ni ipi?Maana kabla hatujaijua JF,tulijua kihistoria na kiuhalisia Israeli ilikuwepo na hadi sasa ipo.Mpalestina akidai ardhi yote ni yake ina maana Israeli haikuwahi kuwepo?
 
Back
Top Bottom