Wakiwamo maswahiba wailaani Israel kwa ukichwa ngumu usio na tija

😂😂😂

standard three advocate teh teh teh
 
labda nianzie apo point no 2. Palestine hawakuua na kuteka kila Mtu bro upo seriously? 😂

na wale watoto wadogo walio fanya deal ya kubadilishana wakaachiwa waliwatoa wapi

1. Mateka wakiwa na vijibwa vyao walikuwa na mtizamo tofauti na Natenyahu. Sembuse wewe?

Waliokuwa mateka Gaza wamuumbua Netanyahu

2. Kama HAMAS anagekuwa mwuaji 10% ya mwisrael mateka waliokuwa hai wangeokotwa wapi?

Barua za shukurani toka kwa waliokuwa mateka kwenda HAMAS zimeonekana. Afya ya miili ya mateka miezi 2 wakiwa kifungoni wengine na vijibwa vyao zimeonekana. Shuhuda za mateka kuwahusu HAMAS zimesikika.

3. Hapo #2, ni authentic extract.

4. Ulivyokuwa empty nikutaarifu za akina Bush Dokta ni acknowledgement.

5. Mburula kama ulivyo #4, wadhani ni kejeli.

Bure kabisa!
 
tuoneshe ako ka barua na sisi tuonepo master 😂
 
Akisimamisha vita maana yake anampa adui yake kujipanga kwa mashambulizi mengine dhidi yake..inaweza kuchukua hata miaka saba ila atamshambulia tu kwa sababu adui yake ameumbiwa kisasi katika imani..
 
Mliambiwa (na Israel)muwaepuka,mkae nao mbali,msijinasibishe na magaidi mtachanganywa kwenye kipigo hamkuelewa?Hadi bomu au risasi ya Muisrael kukufikia ina maana haukusikia na kujiunga au kukaa karibu na magaidi.Mtapigwa tu.
 
"zipo nyingi mle". wapi?

kwaiyo umeshindwa kuziweka apa tuzione Advocate.

1. Elimu ni ufunguo wa maisha hata kama ulishia darasa la 7 rudini shule kusoma.

2. Kwa vile umeshindwa kuziona kabisa na kama nikikuacha utafia ujingani, ninakusogezea moja hapa:


3. Elimu ni uhuru.

Angalizo: haya si maneno yàngu:

"I will remember your kind behaviour shown in spite of the difficult situation you faced,"
 
Advocate hakuna hizo barua kwenye link au mahakamani ndio huu ushaidi waga mnauitaji?

hiki ndicho kilicho funguka only headline about UN workers killed in battlefield

barua zipo wapi unitoe tongotongo mm standard seven B
 
Mliambiwa (na Israel)muwaepuka,mkae nao mbali,msijinasibishe na magaidi mtachanganywa kwenye kipigo hamkuelewa?Hadi bomu au risasi ya Muisrael kukufikia ina maana haukusikia na kujiunga au kukaa karibu na magaidi.Mtapigwa tu.

Kwa hiyo hapa unawaambia wamarekani, waingereza, wacanada, waustralia nk waliofiwa au unawaambia wafu?
 
Akisimamisha vita maana yake anampa adui yake kujipanga kwa mashambulizi mengine dhidi yake..inaweza kuchukua hata miaka saba ila atamshambulia tu kwa sababu adui yake ameumbiwa kisasi katika imani..

Sasa kwani vita iliwahi kusimama lini tokea miaka ya 1947 huko?
 
Nafikiri mtulie, kazi yetu iwe kuona mambo yatafikia wapi, hatuna hizo akili za kushauri Israel ifanye nini na Isifanye nini.
 
Kwa hiyo hapa unawaambia wamarekani, waingereza, wacanada, waustralia nk waliofiwa au unawaambia wafu?
Wote.Maana hapo waliotwangwa ni raia wa... na siyo serikali zao.Viherehere wa kujidai kutetea,kusaidia,kuokoa na blah blahs nyingine wataumia na kufa sana kwa ujinga wa kucheza mbele ya vifaru,mabomu na bunduki za watu wenye akili waruwaru kama Waisraeli waliochafukwa roho.They've got to stop poking their noses unto unconcerned business!
 
Nchi yao kutoka wapi chief tueleweshe
 
Nchi yao kutoka wapi chief tueleweshe
Hapo ndiyo baadhi ya wanaJF huwa wananipatia "cheko" sana.Hao Palestinians wanaoidai nchi yao ni ipi?Na Waisraeli nchi yao ni ipi?Maana kabla hatujaijua JF,tulijua kihistoria na kiuhalisia Israeli ilikuwepo na hadi sasa ipo.Mpalestina akidai ardhi yote ni yake ina maana Israeli haikuwahi kuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…