Wakiwamo maswahiba wailaani Israel kwa ukichwa ngumu usio na tija

Advocate hakuna hizo barua kwenye link au mahakamani ndio huu ushaidi waga mnauitaji?

hiki ndicho kilicho funguka only headline about UN workers killed in battlefield

barua zipo wapi unitoe tongotongo mm standard seven B
View attachment 2952547

1. Bado huoni? Usaidiwe je binadamu kama wewe? Au Hadi kushikwa mkono?
2. Kamata mkono wa kukuongoza hapa:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

3. Kwa mwonekano wako itakusaidia zaidi ukijielekeza vilivyo hasa kwenye kipengele #3 (g) ya uzi huo uliotajwa hapo juu (#2).

4. Kabla ya kuupata mkono huo wa huruma mno kwako, utafia ujingani ndugu.

NB:

Utakuwa umeona kazi ya proper numbering kwenye andiko serious kama ungali una chembe yoyote ya ubongo bado kichwani.
 
inafurahisha Mtu kuropoka upumbavu na Hana strong evidence to support his point teh teh teh where is that letter Advocate wa madrasa la 3 c

out of topic apo kwenye link ya uchawa nipo kwenye uchawa upi master
 

Basi ngoja tusubirie majibu yao na hasa ya marehemu. Usiache kutuletea mrejesho.
 
hzi ndo njia huwa mnazitumia huku Afrika kabla ya kuwapigia kelele israel anza na hawa wavaa kobazi wa afrika
 
u
unaandika huu upumbav wako hujiuliz bila iron dome , zile rocket 5000 za Hamas zingekuua watu wangap kule israel pili hujui kiwa hushika watu mateka ili wawe kama kinga yao wakielemewa ? unafikir bila hao mateka Hamas wangekwepo duniani ?
 
Hata Taiwan unajua inatambuliwa na baadhi ya mataifa it doesn't matter ni taifa kweli mzee.
 
Watu wanakufa njaa Netanyahu yeye awamalize Hamas lakini aruhusu Chakula na Maji kiingie.
 
Ni kweli kabisa, UN imeziba masikio, Iran alishasema amezunguka Israel pande zote za nchi kupitia washiriki wake Hezibollar , Hamas, Houth, sasa anaposhajitetea anaonekana mbaya sana, hamna namna waingie tu vitani mchezo uishe, uzuri vita ya Israel na Iran haitachukua muda mrefu, ni mwezi mmoja kuna nchi military base zao zitakuwa majivu, Iran anataka kuharibu nchi yake nzuri yenye maendeleo mazuri, utapiganaje na nchi yenye nuclear kama hutaki kufutwa? Ndege bora za USA zote zitatumwa Israel , huyo Iran atachomoka je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…